WATANZANIA...UTAWALA BILA MAADILI nisawa na ugonjwa wa kifafa mdawowo mgonjwa yupo hatarini

Jan 23, 2011
62
13
JAPO nigarama sana .....yaweza hata kugarimu damu ya watanzania LAKINI ili KUTHUBUTU TUWEZE NA TUSONGE MBELE .....nilazima TUPATE katiba mpya .....itakayo tokana na wananchi wa TANZANIA kwasasa ......TAIFA LA TANZANIA nikama mgonjwa wa kifafa AMBAE MDA WOWOTE AWEZA KUANGUKA NA KUPOTEZA MAISHA AU KUPATA ULEMAVU WA KUDUMU.......

watawala hawaogopi ruswa ....na ni wahujumu uchumi wakubwa...... mabwanyenye ......makabaila .......mabeberu ......wanyonyaji ........wauaji ........KATIBA YA MWAKA 1977 haina uwezo wa kuwawajibisha kisheria!!??...

Usually
when people are sad they don't do anything they just CRY over their
condition but when they gel Angry they bring about a change" (MALCOLM X).

 
Back
Top Bottom