Kuna mkutano wa Chadema stendimpya Shinyanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna mkutano wa Chadema stendimpya Shinyanga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chakunyuma, Dec 27, 2011.

 1. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Shibuda na Shilungushela wapo. Mkutano umeanza muda kidogo
   
 2. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Shibuda anasema CDM ni mbadala wa ccm na dawa kwa mafisadi. Pia anasema bila chadema nchi ingekuwa nyuma na mambo yangekuwa mabaya. Anaongea mengi sitaweza kuandika yote lakini nitajitahidi.
   
 3. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Shilungushela ambaye ni diwani wa sehemu hii(Stendimpya) anasema utaratibu wa kuhamisha stendi haukufuata utaratibu, kwamba baraza la madiwani halikujadili.
   
 4. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Pia Shibuda anasema kesi ya kupinga matokeo ya mbunge wa Shinyanga mjini inaendelea. Mkutano umekwisha watu walikuwa wengi baadae nitaweka picha.
   
 5. mjunguonline

  mjunguonline Member

  #5
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  n's leading used car sales
  company Our offices are in Japan, Kenya,
  and Tanzania. NEXTAGE CARS KENYA NAIROBI
  OFFICE
  Place International House 1st
  Flo
   
Loading...