Airtel fanyieni kazi hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Airtel fanyieni kazi hili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mphamvu, Dec 27, 2011.

 1. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Ni kuhusu Airtel Money, mawakala ni wachache sana huku mitaani.
  Kwa vile mtandao huu ndo angalau wenye huduma zenye unafuu huku Tanganyika(in exception of Zanzibar Telecom), warekebishe hili tatizo, hata kwenye junct kubwakubwa mawakala wao si wengi kama wa tiGO PESA na M-PESA...
  Wahusika tafadhalini.
   
 2. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Na customer care yao mbovu,hawapoikei simu.
   
 3. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Call centre ya Zain inaangushwa na yule m-kuwait.
   
 4. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nimepeleka application vodacom-Mpesa tangu mwezi wa nane naona bado wananizingua. Kila nikienda naambiwa nisubiri watanipigia simu.
  Sasa inabidi nifanye mchakato TiGo Pesa au Airtel Money sababu nimechoka kusubiri.
   
 5. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #5
  Dec 27, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  anzisha thread nyengine.
  Server bado inadai...
   
 6. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  aplikesheni ya uwakala au uteja?
  Kama ni uwakala changamka Aitel Money ambako kuna upungufu wa hao viumbe.
   
 7. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #7
  Dec 27, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Halafu hata inavyofanya kazi wengi hatujui....biashara matangazo
   
 8. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Airtel Money ndio nn?!!
   
 9. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #9
  Dec 27, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Ni hela za Airtel jombaaa!
   
 10. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #10
  Dec 27, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  ni huduma ya kutuma, kuhifadhi na kupokea pesa inayoendeshwa na kampuni ya Bhati Telecom (T) Limited kupitia mtandao wa simu za rununu wa Airtel...
   
Loading...