white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,314
- 13,279
Mi kwa upande wangu nilikuwa sijui kama ktk tanzania yetu mtu anaweza kuanzia elimu ya sekondari kidato cha pili mala tu baada ya kumaliza elimu ya msingi[std 7] kwa mfumo lasmi achana na ule kuongeza maarifa[QT],badala ya kuanzia kidato cha kwanza kama ilivyokawaida ya mfumo watu wa elimu.Hili nimekuja liona ktk manispaa ya bukoba kuna shule ya english medium school{kama wanavyojiita wao] inaitwa KARUME,mtoto akimaliza pale darasa la saba anaenda kuanza form 2,katika shule ya AMANI,hivyo hakuna cha kusoma form 1!sasa huu utaratibu bado upo?mi nilikuwa naujua ule wa miaka ile ya nyuma sana.!!!!!!!Labda wanafundisha sana mtoto anakuwa amewiva sana mambo ya form 1 anamalizana nayo std 7!