uliposifiki 99
Member
- Nov 14, 2011
- 36
- 1
hatimae ile mvua iliyotabiriwa na TMA(mamlaka ya hali ya hewa Tanzania) yaanza kunyesha kidogo kidogo maeneo ya Gongolamboto na Mbezi hvyo wale ndugu walioamua kurudi maeneo ya Jangwani wametakiwa kuondoka haraka,... Source East Africa Radio