Kero ya mafuta ya petrol Moshi mjini

MATATA2011

Member
Dec 11, 2011
20
2
Hapa moshi mjini, nimezunguka vituo vya GAPCO, NGILOI Petrol station, BP Petroleum nimekosa PETROL,nimekuta kibandiko kwenye shell husika kikisomeka hivi " NO PETROL" hali ni mbaya kabisa. Tatizo ni kubwa,hivo katika kuulizia kwa nini hakuna mafuta,si mhudumu yeyote aliyekuwa tayari kusema tatizo ni nini. lakini kwa mbali nimenusa harufu ya mgomo baridi kwani katika kuulizia nimeambiwa inaonekana mafuta yapo ila wamiliki walio wengi wa vituo vya mafuta wanataka bei iongezeke zaidi. Jamani tunaenda wapiii???........! but nimesikia pia kuna vituo fulani vinayo mafuta ngoja nitafuatilia ila kabajaji kangu kameishiwa kama sitavutwa na break down leo sijui....!
 
Kiborilon kuna petrol station inauza mafuta. Hii ni temporly tu kwa sababu ya shortage ya mafuta mjini hapa. Hamna chembe ya mgomo
 
Hapa moshi mjini, nimezunguka vituo vya GAPCO, NGILOI Petrol station, BP Petroleum nimekosa PETROL,nimekuta kibandiko kwenye shell husika kikisomeka hivi " NO PETROL" hali ni mbaya kabisa. Tatizo ni kubwa,hivo katika kuulizia kwa nini hakuna mafuta,si mhudumu yeyote aliyekuwa tayari kusema tatizo ni nini. lakini kwa mbali nimenusa harufu ya mgomo baridi kwani katika kuulizia nimeambiwa inaonekana mafuta yapo ila wamiliki walio wengi wa vituo vya mafuta wanataka bei iongezeke zaidi. Jamani tunaenda wapiii???........! but nimesikia pia kuna vituo fulani vinayo mafuta ngoja nitafuatilia ila kabajaji kangu kameishiwa kama sitavutwa na break down leo sijui....!

Ee bwanae! kuna sehemu nyingine nimefika wanajidai eti pump za mafuta zimeharibika! huo ni ujanja au ni ujinga mtupu? any way! siku hizi watanzania wengi hatujui tunakokwenda!
 
Back
Top Bottom