Sasa najilaumu kuzaliwa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sasa najilaumu kuzaliwa Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Calist, Dec 27, 2011.

 1. C

  Calist Senior Member

  #1
  Dec 27, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndg zangu Tanzania tuliyokuwa tukijisikia fahari kuwa nayo sio ya sasa, shida zimekuwa nyingi kiasi kwamba sasa siwezi kuona fahari tena kuitwa Mtanzania. Killa kitu ni siasa tu, tuliambiwa tunayo petrol ya kutosha kwa wana Iringa mtakuwa mashahidi petrol haipatikani sasa wiki nzima lakini wahusika wanasema hakuna uhaba wa mafuta mbona hatuyaoni?
  Haya vyakula bei juu sasa hivi mchele unakibilia kwenye 2000, hadi chunvi imefikia 1200, mliofanya shopping ya xmass bei za mavazi mmeziona ziko juu kuliko ambavyo imewahi kutokea, sasa cha kujivunia kiko wapi.

  Mkuu wa nchi utakuwa muungwana sana kama ukiamua kuachia nchi hakuna ubishi imekushinda hadi tufike 2015 tutakuwa tumefika pabaya kuliko ilivyokuwa wakati wa vita vya nduli Idd Amin. Itatuchukua tena miaka lukuki kuijenga upya chonde chonde kikwete achia nchi, nayasema haya kwa uchungu sana ipo siku nitajitoa mhanga mahari popote na wakati wote kuwakomboa Watanzania wenzangu nilikuwa nikiwashangaa sana waliokuwa wakivaa mabomu na kujilipua kumbe sasa nawakubali siku moja nitalivaa ole wako upite jirani nami nitafungua ukurasa mpya wa historia ya Tanzania.
  Watanzania wenzangu poleni sana.
   
 2. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hii ni hatari
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Lakini salaama!
   
 4. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Umesikia wapi maisha yapo cheap.
  OTIS
   
 5. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #5
  Dec 27, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mambo mengine huwa hatuchagui na mshindi ni yule anayekabiliana na changamoto zilizopo mbele yake na si kukimbia
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Dec 27, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Akiachia madaraka maisha yatarudi kwenye mstari?
   
 7. Sijali

  Sijali JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 405
  Trophy Points: 180
  Kama kuna watu 1000 tu wenye hisia kama za huyu ndugu.........miaka miwili haimaliziki bila ya kusikia jambo.
  Natabiri.
   
 8. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Kwa hiyo tunyamaze coz hakuna sehemu maisha marahisi au?
   
 9. j

  joe peters Member

  #9
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 13
  kumbuka mfungwa hachagui gereza
   
Loading...