Hivi polisi wako kwa ajili ya kusaidia au kuumiza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi polisi wako kwa ajili ya kusaidia au kuumiza?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sharp lady, Dec 28, 2011.

 1. S

  Sharp lady Senior Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kwa muda mrefu sasa jeshi la polisi limekuwa likiandamwa na kasfa ya rushwa. Katika siku hizi chache za sikukuu nimeshuhudia jinsi wanavyoidai kwa nguvu tena bila woga wala aibu. Kwa chombo muhimu kama hichi hii haipendezi kabisa. Kuweni sehemu ya msaada nasi vinginevyo haipendezi.
   
Loading...