Hoja iliyo na changamoto

Kibubumo

Member
Dec 19, 2011
18
2
ndio hivyo tena 2naelekea mwisho wa 2011, ni thread ipi ktk hoja na habari mchanganyiko iliyoongoza ktk 2011??
 
Hivi kwa nini mnataka wengine wawafanyie kazi? Kwa nini wewe usifanye utafiti wako na kuja hapa na hoja ambazo unaona zilizua changamoto? Unataka watu wengine wakufanyie halafu wewe utafanya nini?
 
Back
Top Bottom