Tatizo ni sua tuu, au hata vyuo vingine? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo ni sua tuu, au hata vyuo vingine?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Zemu, Dec 28, 2011.

 1. Zemu

  Zemu JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wadau nimevumilia nimechoka, kuna miezi inayofikia minne hali ya ulipwaji wa mishahara hapa SUA si nzuri, mishahara hulipwa tarehe 30, 31, 1, 2 nk, na kila kabla mishahara kulipwa lazima itolewe barua inayoeleza mchakato mchakato, mi ni mtu mdogo sana hapa na sina pa kusemea, ila kuwa kutumia jukwaa hili nipenda kusema JAMANI VIONGOZI MNATUUA, mfano krismas tumekula bila mshahara kisa mchakato, na hata mpaka leo hakuna salary kisa machakato, Je michakato hadi lini? na Je wenzetu wa UD, MZUMBE na vyuo vingine vya umma salary tayari au mko kwenye michakato?
   
 2. D

  Dotowangu JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  bado mzee naona serikli iko mbioni tena kulipa..
   
Loading...