live kbc.k24,citizen-matokeo yanatangazwa kama miaka 50 ya uhuru tz

mkibunga

Senior Member
Nov 17, 2010
196
25
kwa wale wanaoweza kupata tv za kenya angalieni wnzetu wanavyo tangaza matokeo yao wanavyoyapa umuhimu kama tz walivyoadhimisha miaka 50 ya uhuru kweli kenya wako serious sisi huku tunakurupuka
 
Wanatangaza matokeo ya nini? Na sisi tusiopata Tv za kenya unatushauri tufanye nini?
 
kwa wale wanaoweza kupata tv za kenya angalieni wnzetu wanavyo tangaza matokeo yao wanavyoyapa umuhimu kama tz walivyoadhimisha miaka 50 ya uhuru kweli kenya wako serious sisi huku tunakurupuka

Si wote wenye uwezo wa kuzipata tv za kenya na kwa muda huu.

Ungejaribu kutueleza kwa ufupi tu ni kitu gani wanafanya wana harambee nyayo! Hata kama watanzania wengi ni wavivu wa kujifunza basi hao wachache wataweza kunufaika.
 
Wanatangaza matokeo ya form 4 kwa mbwembwe jukwaa limepambwa,hotuba,viongoz wengi,maandalizi makubwa kama ya miaka 50 ya uhuru,shangwe,tunasubiri gwaride kama litapigwa nitawajulisha
 
sorry ni matokeo ya shule ya msingi na si form 4
 
kwa wale wanaoweza kupata tv za kenya angalieni wnzetu wanavyo tangaza matokeo yao wanavyoyapa umuhimu kama tz walivyoadhimisha miaka 50 ya uhuru kweli kenya wako serious sisi huku tunakurupuka

Matangazo ya matokeo ya Shule za Upili ngazi ya kidato cha nne ndio unalinganisha na maadhimisho ya miaka hamsini ya uhuru mliofanya huko Tanzania? Hauko serious wewe, jipende, penda na kuwa tayari kutetea nchi yako bana. Usipojipenda nakuipenda nchi yako, nani ataipenda kwa niaba yako. Kazi kusifia vya wenzako, wewe umefanya nini katika kuendeleza nchi yako?
 
Back
Top Bottom