Nikumbusheni jamani wapendwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nikumbusheni jamani wapendwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by DAVIES, Dec 28, 2011.

 1. D

  DAVIES JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 513
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Jamani naombeni mwenye kumbukumbu,mwaka jana Tigo walitoa namba kupitia sms kuwa kutafuta kazi kwa mtandao wa tigo andika neno KAZI nafasi AINA YA KAZI halafu tuma kwenda namba....... nimeisahau anayeikumbuka anitumie
   
Loading...