Kwa ukweli mimi kama Raia wa kawaida sijui hasa ni zipi kazi za mamlaka hii hasa linapo kuja swala la television, tulitangaziwa kwamba Tanzania kama nchi nyingine duniani kote, inaondoka kwenye...
Jamani, nilipigiwa cmu nikimbie kuangalia tbc kwani lowassa aliongea juu ya migomo ya wanafunzi na serikali. Nasikia ametupa makombora makali sana lakini lakushangaza story mpaka tumefika habari...
Salaam wana Jamvi,
Leo kwenye gazeti la Uhuru na Jambo Leo kuna habari inayosema "Mbunge afichua UFISADI Kivukoni. Katika kupitia habari ndani nikaona kuwa kuna bei mpya za kivuko zimeelezwa...
MWANAFUNZI ATUKWA AMEKUFA KWA KUTOA MIMBA KTK CHUMBA CHA MWANAFUNZI WA CHUO
Mwanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana Iringa aliyetambuliwa kwa jina la Yasinta Kasuga amekutwa amekufa eneo la...
Natoa pongezi kwa serikali kwa kupiga marufuku simu za mkononi mashuleni.Simu hizi zimekuwa kama njia ya kupatia wapenzi badala ya kupata mambo ya maana.
Inasemekana kupandishwa kwa tozo ya kivuko Kigamboni ni KIASHIRIA chA shuruti ya kuhama kumpisha George Bush (mmiliki) ambaye alikuja kupakagua hivi karibuni................by implications bei za...
Kamanda mpinga,mkuu wa kikosi cha usalama barabarani nchini,akiojiwa na tbc saa 2. Usiku. Kasema zoezi la ukaguzi wa leseni limesimamishwa kwa wiki moja. Ameimiza madereva wote waende kubadilisha...
kweli kama kuna wakandarasi wabovu ndiye huyu aliyejenga Kijitonyama to Kopa mwananyamala, kuna uharibifu mkubwa wa raslimali za taifa, huyu jamaa kapaka mfano wa lami na kujaza kokoto alafu kesho...
Kuna kasumba inaanza kuota mizizi hapa nchini yakupenda kuongea kana kwamba kuongea ni dawa ya matatizo yote ya nchi yetu. Yaani inanichosha kweli kweli. Utakuta tukio fulani linatokea basi...
Hivi kwanini hawa viongozi wetu,karibia wote,wakiulizwa kutoa ufafanuzi wa tatizo lolote hapa tanzania hua wanajifariji kwamba hili tatizo sio kwetu hata ulaya,marekani,japan wanayo,sasa kama wao...
Unajua tanzania sasa
imefika hata tunatangaziwa wamekufa watu 50 kwa ajili ya maji atushangai
sababu ya kamanda mpinga na watu wake kuchngia vifo vya kila siku
akuna asiejua jamani kila wiki...
Jamaa mmoja huko Lamu Kenya alikuwa akisafiri na familia yake na abiria wengine kwa mashua wamenusurika kuzama ndipo Bwana alipoogelea na kumwokoa mkewe na kuacha wanawe. but kajieleza alipokuwa...
BREAKINGNEWS.........MWANAFUNZI ATUKWA AMEKUFA KWA KUTOA MIMBA KTK CHUMBA CHA MWANAFUNZI WA CHUO
Mwanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana Iringa aliyetambuliwa kwa jina la...
Leo nimenusurika kuibiwa kwenye akount yangu ya tigo pesa.
Mkasa wenyewe ulikuwa kama ifuatavyo nilikuwa nataka kutoa pesa kwenye akaunti yangu ya tigo pesa.Nilifuata process zote na mpaka...
Wandugu namkumbuka sana Mwl Nyerere kwa kuibua maneno mapya kama anaelezea mambo fulani ,
Kwa mfano
1.Iddi Amini alibatizwa jina la Nduli(joka) wakati alipovamia Tanzania,Mwl alisema tutalitoa...