Kigamboni waanza kuhamishwa KIAINA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kigamboni waanza kuhamishwa KIAINA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Amavubi, Jan 3, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,446
  Likes Received: 4,731
  Trophy Points: 280
  Inasemekana kupandishwa kwa tozo ya kivuko Kigamboni ni KIASHIRIA chA shuruti ya kuhama kumpisha George Bush (mmiliki) ambaye alikuja kupakagua hivi karibuni................by implications bei za nauli za dalax2, bidhaa za madukani na sokoni etc zinatarajiwa kupanda pia kufidia tozo la mizigo ya kivuko..........ama badu MAISHA KWA UJUMLA YANATARAJIWA KUPANDA SANA......yamkini si shwari tena Kigamboni.............Yasemekana hata Mh Mbunge ameshanusa dalili ya kuhamia VITI MAALUM kwa kukosa JIMBO ndi maana anashikia Bango

  Nachokoza tu!!!
   
 2. grey

  grey Senior Member

  #2
  Jan 3, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 159
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  napita tu...
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  unachokoza meanz what?
  Kwa kupanda gharama nakubali,wana KG wajiandae
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,274
  Likes Received: 19,420
  Trophy Points: 280
  ha hami ntu tutapiga mbizi
   
 5. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Huyo Bush kama unachuki nae kiasi hicho kwa nini umrushie tu kiatu yaishe!!!??? tena baadae kitanadiwa kwa mamillioni na utakuwa tajiri lol!!!
   
Loading...