Amwokoa Mkewe na kuacha watoto

Chacharika

Member
Nov 6, 2010
51
13
Jamaa mmoja huko Lamu Kenya alikuwa akisafiri na familia yake na abiria wengine kwa mashua wamenusurika kuzama ndipo Bwana alipoogelea na kumwokoa mkewe na kuacha wanawe. but kajieleza alipokuwa akihojiwa kuwa wasamaria wema wamewaokoa so wote wamesalimika.
my note-kumbe ule msemo wa wahenga wetu unafanya kazi kuwa ktk hatari umwokoe nani, mtoto au mke.
Source: ITV habari za Afrika mashariki.
 
Ukiwa na mke mtazaa wengine watakaoziba mapengo....kwenye ajali si rahisi kufanya kama unavyofikiria....
 
Hakukosea kwani wanaweza kuzaa wengine. Kwani aliwaoa watoto au mke? Huyo mke wake aliapa nae kanisani, serikalini na msikitini (kama waislamu wanaapa sijui). Hakukosea kabisa, Big Up jamaa!!
Jamaa mmoja huko Lamu Kenya alikuwa akisafiri na familia yake na abiria wengine kwa mashua wamenusurika kuzama ndipo Bwana alipoogelea na kumwokoa mkewe na kuacha wanawe. but kajieleza alipokuwa akihojiwa kuwa wasamaria wema wamewaokoa so wote wamesalimika.
my note-kumbe ule msemo wa wahenga wetu unafanya kazi kuwa ktk hatari umwokoe nani, mtoto au mke.
Source: ITV habari za Afrika mashariki.
 
Watoto wamekuja baada ya wao kupendana!
As long as wote wamesalimika watoto watawapata tu.
 
ukiokoa mkwe utaweza bahatika kuzaa tena ila ukiokoa watoto unakuwa na shughuli pevu ya kuwatafutia mama mwingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom