Simu za mkononi kwa wanafunzi wa kike ngono made easy! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simu za mkononi kwa wanafunzi wa kike ngono made easy!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mpigaji, Jan 2, 2012.

 1. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Natoa pongezi kwa serikali kwa kupiga marufuku simu za mkononi mashuleni.Simu hizi zimekuwa kama njia ya kupatia wapenzi badala ya kupata mambo ya maana.
   
 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,047
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  marufuku hiyo ni kwa gvnt au private au both? watazificha tu wanafunzi wajanja sana
   
 3. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #3
  Jan 2, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Walikataza sababu ya ngono? sijaelewa uhusiano kati ya statement in the tittle na uamuzi huo.
   
 4. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,836
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 0
  Toka ziingie takwimu zinaonyesha wanafunzi wengi wamedungwa mimba kwa sababu ya simu imelahisisha mawasiliano mpaka ya kujipatia takrima kama chipsi na soda hata rais aliliongelea hili mwaka uliopita.
   
 5. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #5
  Jan 2, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  na watu wengi wanapenda sana kutoka na madent underground mana ni so cheap kuwapata ukimnunulia tu simu au kama anayo ukiwa unamuwekea credit basi huyo ni wako tayari
   
 6. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #6
  Jan 2, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  umenena vema mkuu)))))) nakuunga mikono na miguu 100%
   
 7. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #7
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,836
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 0
  Nashukuru sana mimi simu nimeanza angalau kushika baada ya kumaliza form 6 tena baada ya kukaa zaidi miezi 6
  Unakuta sasa hivi kibinti kidogo kina simu ya bei mbaya kuliko hata ya mzazi wake maskini ya Mungu hata mzazi wkt mwingine hajui iliripotiwa hapo shule ya msingi kwa mkuu wa mkoa kuna mwanafunzi alikutwa na Nokia ya bei mbaya kama laki 4 hivi mwanafunzi wa darasa la sita walimu walivyo nyoka nae dah mzazi wake wakamkuta ana simu Philips ile dole gumba kumbe kuna pedejee anakula hako katoto na amekahonga simu ili iwe lahisi kuwasiliana.
   
 8. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #8
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,836
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 0
  Denti hana ghalama ya sijui st.anne au savana au wine dompo au supu ya kuku au tax dent ghalama yake ni chipsi kuku na Spalleta ya zamani na nauli ya kurudia nyumbani
   
 9. m

  mtukwao2 Senior Member

  #9
  Jan 2, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  hii ni uvunjaji wa haki za binadamu, nawashauri wanafunzi hao kama waende kwenye taasisi zinazoshughulikia maswala ya haki za binadamu!
  1. ni haki yao kuwasiliana na ndugu jamaa na marafiki zao.
  2. ni haki yao kuwa na wapenzi kwa sababu nao ni binadamu wanahitaji kupendwa na kupenda kama wengine.
  the only thing ambacho walipaswa kukifanya ni kuwaelesha matumizi sahihi ya izo simu hususani wawapo shule na negative effects zake zisipotumiwa isivyo!
   
 10. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #10
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,836
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 0
  Watu design yako ndo watia mimba wakubwa kwa wanafunzi
  Nyie mnatakiwa mpigwe mvua 30 gerezani kwa kuwakomaza watoto wa wenzenu kwa kufanya nao ngono.
   
 11. serio

  serio JF-Expert Member

  #11
  Jan 2, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,720
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  chips,
  car,
  cell phones,
  credit... etc.
  hivi vitu kwa chicks ni nooma...
   
 12. m

  mtukwao2 Senior Member

  #12
  Jan 2, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo utakuwa unanionea mkuu, izo biashara niliishaachaga cku nyingi sana siku izi nafanya mambo kikubwa
  sioni sababu ya kumtongoza mwanafunzi ambaye hata kuoga kwenyewe shida bado hajui na ndio maana anaitwa mwanajifunza which means bado anajifunza wakati kuna wanawake wenye akili zao, ambao tayari walishajitmbua na wanajui maana ya uanauke wao. hapa mimi nasimamia haki za binadamu kama mwanaharakati!
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  asante kwa kukiri kuwa ulishawah kufanya kandaras
   
 14. m

  mtukwao2 Senior Member

  #14
  Jan 2, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwenye timu nilikuwa sikosi number, japo mimi na coacher zilikuwa haziivi kutokunipanga kwenye kikosi cha kwanza ilikuwa kama kuuza timu!  usipovichezea vikopo utotoni uzeeni huvikwepi!
   
 15. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #15
  Jan 2, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,438
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  mara mia uombwe vocha za simu na videnti kuliko mimwanamke mimtu mizima. mi inaniudhi sana
   
 16. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #16
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,836
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 0
  Mizinga ya mwanamke mtu mzima ni noma utasikia naomba hela nipaue nyumba yangu mara sijui naomba unichangie ada ya mtoto anaenda sekondari dah hii mizinga noma
   
 17. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #17
  Jan 2, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,047
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  kumbe ni cheap kuwapata,siku hizi mchina hata 40,000 unapata kumbe mabinti mnaoturingia dawa yenu ndio hiyo.
   
 18. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #18
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,771
  Likes Received: 524
  Trophy Points: 280
  Nashauri mafunzo ya matumizi sahihi ya simu ndio yatolewe sio kupiga marufuku maana hata wakipiga marufuku hawatofanikiwa.
   
 19. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #19
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,771
  Likes Received: 524
  Trophy Points: 280
  unaharibu videnti eeh!
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,771
  Likes Received: 524
  Trophy Points: 280
  kumnunulia mbona mbali. Akiona kinjemba kinamiliki vitu vizuri basi kashadanganyika.
   
Loading...