Basi la upendo laua wawili! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Basi la upendo laua wawili!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ralphryder, Jan 3, 2012.

 1. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ajali imetokea morogoro gari hili hufanya safari zake kati ya dar na iringa. Sourc ch ten. Mwenye updates atujuze.
   
 2. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #2
  Jan 3, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Tena??????
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  MUNGU! Tulinde waja wako. Walio majeruhi Mungu kawaponye wapone mapema.
  Waliofikwa na mauti MUNGU ukawafunike kwa uwezo wako na wawe kwako kwa AMANI yako BWANA!
   
 4. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,594
  Trophy Points: 280
  Sio Upendo ni lucky star...
   
 5. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  haya mabasi ya Upendo nayo yamechoka kila wakati yanapata breakdown barabarani, Juzi nilipanda Upendo Bus ya Dar - Njombe tulipofika Kitonga likaaribikia katikati ya mlima ikabidi wafunge na mipira na manyaya tukafanikiwa kuendelea na safari lkn kwa kusuasua: kuna haja ya kuyachunguza kwa makini: wanao yajua wanasema kuwa huwa hayafanyiwi service.
   
 6. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kuna mawaziri wamewekeza humo sasa ukisema yachunguzwe sijui kama watalitekeleza hilo
   
 7. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mkuu nilivyosikia mimi ni Upendo,kama una habari mpya tumwagie!
   
 8. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Upendo, Budget na Luck Star yote hayo ni ya familia moja. wanachofanya ni kubadili majina na rangi, hivyo ubovu wa hayo magari uko palepale.
   
 9. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #9
  Jan 3, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kama ndo hivyo ngoja tusubiri 2015 hao Mawaziri watatumbua.
   
 10. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #10
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ahaa! Umeiweka vema mkuu!
   
 11. C

  Cool Member

  #11
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mi jana nimepanda luck star liliharibika mara mbili wakafunga chini kwa kamba ya katani. Jaman haya magari ni mabovu mno
   
 12. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #12
  Jan 3, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,141
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Jamani tusikurupuke kiasi hiki, kwenye suala linalojusu maisha ya watu hii sio siasa!
  Hiyo ajali inahusisha basi la Lucy Star na sio Upendo kama ambavyo mleta thread umesema, Huko channel ten umesikia nunu nusu wamesema basi la Luck star ambayo ni kampuni mama ya mabasi ya Upendo.
   
 13. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #13
  Jan 3, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  chupu chupu niuingie huu mkenge, bahati nzuri pale ubungo nafsi yangu iligoma kupanda hili basi nikaingia Abood la saa 4 hiyo iliondoka saa 5, hayo mabasi yote yamechoka hamna maelezo hata hizo Abood ziendazo Iringa zimechoka ni spana mkononi. Iringa hamna basi la uhakika na bora zaidi ya Sumry
   
 14. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #14
  Jan 3, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  mkuu, imeishakuwa kawaida ya hayo magari, ukiyapanda na ukafika salama na kwa muda muhafaka shukuru, Askari wa kikosi cha usalama barabarani wapo wanayafumbia macho tu;
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,467
  Likes Received: 4,126
  Trophy Points: 280
  Ni ya kampuni moja hayo!
   
 16. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #16
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Yup yule waziri anayejifanya kushika mwiko kusonga ugali ili apigwe picha. JK anampenda maana kwao jamaa ni sangoma wa kutisha....!! Ana madigirii ya kusomea week 6, na anavyoogopa wadhungu.... maana I am wenting, na i will see you yesterday nyingi sana.... :)
   
Loading...