Aliyejenga Barabara Kijitonyama mpaka Kwa kopa ashitakiwe?

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
kweli kama kuna wakandarasi wabovu ndiye huyu aliyejenga Kijitonyama to Kopa mwananyamala, kuna uharibifu mkubwa wa raslimali za taifa, huyu jamaa kapaka mfano wa lami na kujaza kokoto alafu kesho aitwe kuziba mashimo, baadaye nyie wakandarasi wa ndani mnalalamika kuwa mnanyimwa tenda ! kama haruirudia nitamshitaki mwenyewe. Acheni wizi wa mapema
 
kuna mwingine alipewa tenda ajenge jengo la SIMBA lenye kubeba ghorofa zaidi ya sita yeye kawenka msingi wa jengo la ghorofa tatu ..si wehu huu?
hapa inabidi siku moja anyongwe mtu hadharani
 
Nami najiskia kuandika jamani!!! Niandike nini?
Haya uliyoaandika yanatosha maana umeshatufikishia ujumbe.... now back to topic. Makandarasi wengi wa ndani ni wajuzi zaidi wa kulalamika kuliko kufanya kazi... wanachokijua zaidi ni ten percent tu
 
mkandarasi hana kosa!!!!!!!
Mwenye kosa ni msimamizi wa kazi, ndio mwenye jukumu la kukuba, kuhakiki kazi alizofanya mkandarasi.. Na kama ipo chini ya kiwango walichokubaliana mkandarasi hurudia kazi
 
lakini alikabidhi vipi kazi wakati barabara mbovu namna ile au anavizia mvua iitoboe apewe tenda ya kuziba mashimo.

Anna Makinda anapita pale kukwepa foleni, magufuri je apiti huko kujionea mambo?
 
Mkuu hizi barabara zilizoko chini ya Halmashauri kuna ubadhirifu na rushwa kuanzia kwenye mchakato wa kumpata mkandarasi kwa kuwa watendaji wengi wanatafuta namna gani watachota hela kwenye hiyo miradi, hali inayofanya mkandarasi naye kuweka lami feki
 
kweli kama kuna wakandarasi wabovu ndiye huyu aliyejenga Kijitonyama to Kopa mwananyamala, kuna uharibifu mkubwa wa raslimali za taifa, huyu jamaa kapaka mfano wa lami na kujaza kokoto alafu kesho aitwe kuziba mashimo, baadaye nyie wakandarasi wa ndani mnalalamika kuwa mnanyimwa tenda ! kama haruirudia nitamshitaki mwenyewe. Acheni wizi wa mapema
Magufuli anaacha kusimamia kwa makini barabara anaenda kuwabu wakaazi wa kigamboni upupu nilifikiri kamaliza wajibu wake
 
Back
Top Bottom