Haya matatizo sio Tanzania tu hata nchi nyingine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya matatizo sio Tanzania tu hata nchi nyingine

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by King Kong III, Jan 3, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Hivi kwanini hawa viongozi wetu,karibia wote,wakiulizwa kutoa ufafanuzi wa tatizo lolote hapa tanzania hua wanajifariji kwamba hili tatizo sio kwetu hata ulaya,marekani,japan wanayo,sasa kama wao wanayo na sisi kuna ulazima na sie tuwe nayo wakati uwezo wa kuyatatua upo?
   
 2. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2012
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  Nia ni kukuonyesha wewe mwenye fikra za kudhani kwamba kuna peponi hapa hapa duniani kwamba hata huko unakodhani ni peponi wanayo matatizo. Vile vile ni kuonyesha wewe kwamba matatizo mengine yanatatiza universally.
   
 3. M

  Malova JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  matatizo yetu yamezidi na mengine ni ya kifarasi kwasababu tu ya ushenzi wa watu fulani
   
 4. n

  nrashu Senior Member

  #4
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ndugu Yangu King Kong III: usipate shida wanapojifariji kwa kujilingalisha na mataifa yalioendelea. La msingi wajilinganishe pia na kwenye maendeleo.... utawala bora...., uwajibikaji..... na mengine mengi ambayo wanayajua.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280

  Kwahyo marekani na nchi zinazofanana na hizo ndo kipimo chetu? Hv america wana utajiri wa asili kama tulio nao sisi huku?
   
 6. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Ni ujinga ku justify umasikini wako kwa kuangalia umasikini wa jirani.
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280

  Kabisa yani hadi prof mkandala anaulizwa na malin hassan kuhusu kwanin wanafunzi wa elimu ya juu wanakosa mikopo nae anajibu kwamba sio tanzania hata nchi nyingine wanakutana na hali kama ya kwetu,kwanin wasichukue hile tathmini ya dr slaa jinsi ya kutoa helimu bure from scratch to versity level?
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280

  Haaaaa kabisa mkuu naona wanajilinganisha kwenye matatizo tuuu
   
 9. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #9
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wananchi wenzangu. Tumieni akili zenu. Swali lina kina. Kwa nini wafananishe na nchi nyingine maproblem pekee? Mbona mauhondo hawafananishi? Sababu ni kwamba kipimo cha maendeleo ya mtanzania yamewekwa katika matatizo ya ulimwengu mzima na sio katika hatua walizochukuwa wenzetu wa majuu. Wanacho kitaka ni.......................

  "Do not dwell in the past, do not dream of the future, concentrate the mind on the present moment"
   
Loading...