Clinical officers

DAVIES

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
514
90
Jamani nisaidieni anuani za vyuo vya Clinical officers vya serekali anayefahamu ombi
 
Ukitaka kujiunga na kozi hiyo unapaswa kutuma maombi kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya.
 
Kwa urahisi kama upo Dar nenda Ministry of Health. Kwa mikoani muone Regiona Medical Officer. Naheshimu sana watoa huduma hii. Ni muhimu kwa taifa lakini wamesahauliwa. Ndio uti wa mgongo wa huduma za tiba Tanzania. ONYO! Punde umalizapo masomo na kuanza kazi usiwe ukitoa huduma za tiba kwenye eneo lako kwa kupokea hongo.
 
Back
Top Bottom