Nimekoswa koswa kuibiwa kwenye tigo Pesa leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimekoswa koswa kuibiwa kwenye tigo Pesa leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LEGE, Dec 31, 2011.

 1. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Leo nimenusurika kuibiwa kwenye akount yangu ya tigo pesa.
  Mkasa wenyewe ulikuwa kama ifuatavyo nilikuwa nataka kutoa pesa kwenye akaunti yangu ya tigo pesa.Nilifuata process zote na mpaka nikatumiwa msg kuwa huduma yangu imefanikiwa.
  Chaajabu wakala akadai kuwa msg kwake haija ingia hivyo nisubiri masage iingie kwake ndiyo anipe fedha nilisubiri kama saa zima ikawa kimya nikapiga simu costormer care kama kawaida yao hawakupokea.Chaajabu yule wakala alinipa namba ya simu akasema akasema ni namba ya tigo pesa coster care namba yenyewe ni 0714 767738 nikampigia akapokea dada 1 akanizingua sana akasema nimtajie namba yangu ya sim na niiache hewan nilikaa hewan kama nusu saa na zaid nikampa wakala akaongea nae akajifanya sijui anamtajia namba.
  Kiukweli na haraka haraka hawa jamaa ni wezi wa kutupwa mnaotumia huduma hii kuweni makini sana na hawa mawakala wao ni wezi wa kutupwa.

  Kingine inamana hao tigo wana namba ngapi za costormer care???

  Mmenikosa wezi wakubwa nyie.
   
 2. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2011
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Rekebisha heading
   
 3. u

  utantambua JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Usikimbilie kuwahukumu kuwa walitaka kukuibia ingawa ni kweli tatizo hilo la kufanya transaction na kutopata message ya confirmation hutokea (nshakua victim wa hilo na nilipofuatilia nilihudumiwa fresh kabisa). Cha kufanya ikitokea hali hiyo wewe chukua details zote mfano jina na namba ya wakala, tarehe ya transaction, na kiasi cha pesa ulichokua unakusudia kutoa, kisha nenda na taarifa hizo kwa kituo cha huduma cha tigo utapewa ile message ambayo iligoma kuja kwako na kwenda kuchukua pesa yako. Sema tu kuna usumbufu flani wa kuwafuata kwa kuwa wao namba yao ya simu ya huduma kwa mteja haipatikani kirahisi lakini vinginevyo hakuna wizi hapo.
   
 4. G

  Geka Senior Member

  #4
  Dec 31, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Khah! Hiyo heading bhana, au ndo unataka uufunge mwaka hapa JF?:hat:
   
 5. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  duh! Mkuu umestua watu na heading yako,rekebisha tafadhari...
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Dec 31, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ma-bwabwa yamevamia yako bize kweli kupromote bidhaa yao ambayo lazima waikali kuipa strength valve
   
 7. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #7
  Dec 31, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mbona ujaweka jina la wakala na sehemu iliyopo ili na sisi tusiliwe tigo maana wewe tayari.
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Dec 31, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  punga hilo... nadhani yamepewa masurufu basi yanahangaika kweli kupata mileage kila kona:hat:
   
 9. J

  Jadi JF-Expert Member

  #9
  Dec 31, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,402
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Mi nilijua wamekuvua suruali ukashtuka kabla hawajala tigo yako,pole sana na hongera kwa kushtukia dili
   
 10. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #10
  Dec 31, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
   
 11. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #11
  Dec 31, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Dah! Hii hatari basi....
   
 12. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #12
  Dec 31, 2011
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  mimi nilifikiri kuwa walitaka uwape tigo ya watoto wa mjini.
   
 13. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #13
  Dec 31, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  mchicha mwiba utamjua tu!hatupumulii visogo kama vipi katafute mabasha katika kumbi za taarabu!
   
 14. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #14
  Dec 31, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Wakuu mbona mnafika mbaali kwa kufikiria upuuzi na ufirauni usio na maana mmeacha kuchangia mada mmekimbilia kwenye tigo ya cameroon wakuu nimekosea kidogo tu nilikuwa namaanisha TIGO PESA yangu na siyo hivyo mmaanishavyo nyie.
  Inaonekana mwakaa mwa waza huo upuuzi kweli cameroon amewashika wengi.
   
 15. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #15
  Dec 31, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  shukran mkuu kwa kunistua.
   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  Dec 31, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  huwezi kukosea na kujitukana
  lazima unajua unachofanya....
   
 17. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #17
  Dec 31, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  acha ukimbora wewe mbona unakuwa na mawazo na fikra za kicameroon mda wote au ndiyo michezo yako nin ya kupumuliwa kichogoni??

  Mim nimekosea tu uandish kidogo basi kusikia tigo tu masaburi yako yamekuwaasha mwenyewe..
   
 18. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #18
  Dec 31, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ah! We nae bhana! Kumbe tiGO hiyo! Nawahi bar!
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Dec 31, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  loh! ? ? ?
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Dec 31, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Inatokea mara nyingi msg kuchelewa. Kuna siku nilimuamishia mtu kutoka voda kwenda tgo, msg hakuipata hadi ikabidi niende ofisi za voda wanirudishie hela kwenye akaunti. Transactions za mobile sio za kuziamini sana.
   
Loading...