Iringa: Mwanafunzi afa kwa kujaribu kutoa mimba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iringa: Mwanafunzi afa kwa kujaribu kutoa mimba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saint Ivuga, Jan 3, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,519
  Likes Received: 19,942
  Trophy Points: 280
  [h=3]BREAKINGNEWS.........MWANAFUNZI ATUKWA AMEKUFA KWA KUTOA MIMBA KTK CHUMBA CHA MWANAFUNZI WA CHUO[/h]
  [​IMG]Mwanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana Iringa aliyetambuliwa kwa jina la Yasinta Kasuga amekutwa amekufa eneo la Ngome katika Manispaa ya Iringa akiwa ndani ya chumba cha kijana ambaye ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Tumaini mjini Iringa.

  Taarifa za mashuhuda wa tukio hilo ambao wameteta na mtandao huu wa Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima wamedai kuwa mwanafunzi huyo alikuwa akifika katika nyumba ya mwanafunzi huyo mara kwa mara na wamekuwa wakiishi kama mke na mume japo wote ni wanafunzi.

  Hivyo walisema kuwa kutokana na mazoea hayo walichukulia watu hao kama ni wapenzi na kuwa hata siku ya tukio walipotapa taarifa ya mwanafunzi huyo kufa walitegemea kijana huyo kuwajulisha ila cha kushangaza kijana huyo hakupata kuonekana kabisa na badaal yake kuutelekeza mwili wa mwanafunzi huyo katika chumba chake.

  Jeshi la polisi mkoa wa Iringa kupitia kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Evarist Mangalla (pichani) limethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kuwa katika chumba hicho walikuta dripu na dawa nyingine ambazo zinaonyesha kuwa mwanafunzi huyo kifo chake kimetokana na kutaka kujaribu kutoa mimba
   
 2. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,519
  Likes Received: 19,942
  Trophy Points: 280
  true...
   
 4. M

  Mr Mayunga JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Dah,acheni wanafunzi.
   
 5. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Wewe bado mwali eeeh....
   
 6. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,819
  Likes Received: 36,912
  Trophy Points: 280
  mungu amlaze mahali anapostahili kutokana na matendo yake.
   
 7. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  du kama MUNGU angekuwa mjomba tungeona mengi mwali sio kirahisi kama unavyotamka amri ya sita usizini.
   
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  dah! Nguvu kazi ya taif imepotea hivihivi, anyway MUNGU AMPUNZISHE KWA AMANI.
   
 9. S

  Shomy . I JF-Expert Member

  #9
  Jan 3, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Nimesikiliza story nzima kutoka radio ebony fm asubuhi hii. Kifupi ni kwamba baada ya msichana kubain kuwa ana mimba aliomba ruhusa aende nyumbani kwa matibabu kwa ugonjwa mwingne. Mara baada ya kupata ruhusa, aliamua kwenda kwa jamaa huyo na walishauriana watoe. Ni baada ya wiki 2 tangu atoke shuleni. Baada ya kutoa mimba hali yake ilikuwa mbaya hvyo kuwa kwa mshkaji huyo akiwa anapata matibabu. Mara baada ya kufariki dunia jamaa akakimbia na kuufungia mwili wa marehemu ndani. Alipofika kusikojulikana aliamua kumpigia mama mwenye nyumba na kumwambia 'FUNGUA NDANI KWANGU NA UCHUKUE MZIGO' mara baada ya mama huyo kufungua ndo akakuta mwili wa mwanafunzi huyo huku kukiwa na madrip na madawa mengine. Mpaka ss baba wa marhm pamoja na kaka yake wamefika shuleni. Taarifa zaidi badae baada ya ndugu hao kujadiliana na uongozi wa shule. Taarifa hii ni kwa mujibu wa walimu wawili waliohojiwa na radio hiyo asubuhi hii.
   
 10. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #10
  Jan 3, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,361
  Likes Received: 2,989
  Trophy Points: 280
  Biblia Takatifu inasema USIZINI,lakini pia inasema WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA,HOSEA 6:1 nakuendelea
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,519
  Likes Received: 19,942
  Trophy Points: 280
  kanza huyi Mungu umeandikwa kwa herufi ndogo..mwenye kosa hapa ni mwanaume
   
 12. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #12
  Jan 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Naomba wahusika waingilie hili swala banah shule ya IRINGA girls inaongoza kwakutoa mimba!!!!!
   
 13. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #13
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  nini kimeharibu sifa ya hii shule? zamani tukiwa wanafunzi binafsi nikiwa mkwawa ilikuwa nadra kuwapata hawa wanafunzi labda j2 ambapo kuna makutano ya YCS pale kihesa zaidi ya hapo hatuwaoni walikuwa geti kali hata disco ilikuwa mbinde kuwaona na walikuwa na sifa ya nidhamu,labda uongozi mbovu na wanafunzi wenyewe kizazi hiki kupenda ngono kuliko masomo.
  namlaumu mwanafunzi wa tumaini kufanya nae mapenzi bila kinga kwani mabinti wadogo bado hawana uwezo wa kungamua madhara yatokanayo.wacha akaozee jela na future yako imeishia hapo.lazima ahukumiwe kwa manslaughter kwani alikusudia hivo na kama hakudhamiria angempeleka hospital.
   
 14. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #14
  Jan 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Ebanaah wale watt wanapenda ngono kuliko kitabu yaani wanarukishwa ukuta usipime wanaogopa mimba kuliko ukimwi!!! Siyo utani ila kuna week kabla ya Christmass nlikuta watt wa Iringa gals kama 6 na uniform wakiingia guest na majamaa bad enough wazee wakubwa ambao ni sawa na baba zao au zaidi!!! Usipime ukimwi wa iringa mnihukumu ila ukimwi iringa ni kutokana na vyuo vya RUCO na TUMAINI am sure 70% wanalo hili tatizo la upungufu wa kinga mwilini....
   
 15. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #15
  Jan 3, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mshahara wa dhambi ni mauti
  OTIS
   
 16. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #16
  Jan 3, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Sometimes malipo ni hapahapa duniani but May God forgive her, na huyo kaka atakimbia kokote lakini he will remain haunted forever mpaka mwisho wake!
   
 17. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #17
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,519
  Likes Received: 19,942
  Trophy Points: 280
  dhambi zote za huyu mdada naomba abebeshwe mvulana..yeye ndio source ya kila kitu
   
 18. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #18
  Jan 3, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Kila lifinyikalo GIZANI huletwa NURUNI. :smash:.
   
 19. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #19
  Jan 3, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  rip young one....
   
Loading...