Kamanda mpinga na kizungumkuti cha leseni mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamanda mpinga na kizungumkuti cha leseni mpya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kajunju, Jan 3, 2012.

 1. k

  kajunju JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Kamanda mpinga,mkuu wa kikosi cha usalama barabarani nchini,akiojiwa na tbc saa 2. Usiku. Kasema zoezi la ukaguzi wa leseni limesimamishwa kwa wiki moja. Ameimiza madereva wote waende kubadilisha leseni ndani ya wk moja. Swali la kujiuliza,je madereva wenye lesen ambazo hazija-expire kwa nini wasiachwe hadi lesen zao ziishe muda wake?nani aliyetoa leseni ambazo hazijaisha muda wake? Huu ni ulaji/ufisad mwingine umeandaliwa. Kubadilisha leseni lazima mtu atoe sh laki mbili la sivyo lesen ya daraja la c utapewa madaraja ya ajabu. Huu ni mpango umeandaliwa kuibia watu wakti watu wanapeleka watoto wao shule huku gharama za maisha zimepanda. Nchi hii ni wizi mtupu!
   
Loading...