Kamanda mpinga polisi wako wanatia aibu;wanatuua hao;mlitaka kumfunga aibu imewakuta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamanda mpinga polisi wako wanatia aibu;wanatuua hao;mlitaka kumfunga aibu imewakuta

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jan 3, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,150
  Likes Received: 5,576
  Trophy Points: 280
  Unajua tanzania sasa
  imefika hata tunatangaziwa wamekufa watu 50 kwa ajili ya maji atushangai
  sababu ya kamanda mpinga na watu wake kuchngia vifo vya kila siku
  akuna asiejua jamani kila wiki lazima tusikie vifo nimekaa nikajiuliza leo
  naomba nimjuze kamanda mpinga polisi wako wanachangia sana vifo barabarani

  unaweza kujiuliza hili kamanda mpinga kivipi je wamekuwa israel wanachukua roho za watu
  je wamekuwa wachawi wanaloga watu wanakufa nakwambia hao wote wana afhadhali kamanda
  mpinga polisi wako ni wauwaji....

  Ukiona mtu anaona dereva anaendesha zaidi ya speed inayotakiwa anamweka mtu pembeni'
  alafu anamwambia aweke chakula kwenye lesen yake alafu anarudishiwa leseni ikiwa tupu
  abiria manendelea kulalamika na dereva anaachiwa kuendelea na safari huyu ni zaidi ya muuwaji
  ingekuwa kwetu pemba ningempa jina chafuuuuuuu kabisa hawana adabu kabisa hawa watu

  leo tunaona matukio ya ajali huko iringa haya ni matunda ya rushwa za kila siku kamanda mpinga amekuwa
  mnafiki kuomba watu wamsaidie mwisho wa siku anakamata watu wanaoonyeshwa live jinsi vijana wake wanavyoiba yaani tena bila aibu washenzi wale wanachhukua hela bila kuangalia .....hata kama kuna mtu anawaangali ,,siwezi jua pengine ni aina mojawapo ya mazoezi wanayofundishwa wakiwa huko

  ila kamanda mpinga nenda urudi pamoja na kutaka yule kijana afungwe mungu akamtoa kwenye tanuru la moto binafsi namwita daniel maana ametoka kwenye moto unaowaka ukiongozwa na kabinet yako
  lakini nakuweka wazi mzee wangu wangu kaka yangu kama untaka kurekebisha watu waendeshe kwa adabu rekebisha kwanza jinsi ya polsi wako kuchukua rushwa zisizo na adabu

  unanikamata naendesha rav 4 unaataka leseni hiyo washa taa hiyo mwisho ananiuliza mbona huna helmet kichwani ...jamani nimjibuje polisi huyu hao ndio askari wako kamanda mpinga

  wajuze kueshimu na kujiheshimu najuwa wanaona wivu wimbi la kila traffic kuwa na gari hata kama used najua ni yenu mnatakiwa kujua akuna anaeklula raha bila kuhangaika na sio kujiabisha '

  alafu bababa naniiiiiiiiiiiiiii wewe nimeksuathi tu
   
Loading...