Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari waungwana, Nashukuru Mungu nimeuona mwaka mpya, heri na kwenu pia wana JF. Niwaeleze tu jinsi mwaka mpya ulivyonikuta.. Kilaji cha nguvu, nilikuwa bwiii mpaka kubebwa kuletwa home, jambo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
NAPE NNAUYE amesema aliwahi kuwa mhubiri na mwimbaji wa nyimbo za Injili kabla ya kujiunga na siasa. Akitoa salam katika mkesha wa mwaka mpya uwanja wa taifa. Nape amedai kuwa anapata ujasiri wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
:sad::A S cry::shock::thinking:Wakuu hebu angalieni hii kasheshe jijini kwetu Dar es Salaam. https://twitter.com/#!/search/%23Darfloods/slideshow/photos?url=http%3A%2F%2Ftwitpic.com%2F7wmp4h
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Mwenye taarifa za uteuzi na uhamisho wa makatibu wakuu naomba atujuze. Kuna taarifa kuwa Mhe. Rais kafanya uteuzi na kuwahamisha makatibu wakuu wa wizara mbalimbali. Mwenye taarifa za uhakika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu wote kabisa bila kujali wapya na wa zamani nawapa salaam zangu za Mwaka mpya 2012 .Ni masaa machache yamebakia lakini naamini Mungu atatuvusha wote . Mwaka huu unao ishia ulikuwa mgumu sana...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Kuna vitu vingi sana ambavyo vimetokea mwaka 2011 lakini vipo ambavyo milele utakaa uvisahau maishani
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kesho tar 1 jan 2012. Wakazi wa kigamboni wameandaa mgomo mkubwa kabisa kwa kuzuia watu wote kutovuka ktk vivuko hivyo ikiwa ni kupinga ongezeko la nauli kutoka sh 100 hadi sh 200/- wananchi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni wiki ya pili eneo kubwa la Tabata Segerea hatuna umeme na sababu kubwa ni kuungua kwa transforma mbili siku ile ya mvua ya tr 21 tumetoa taharifa Tanesco na majibu wanayotoa ni kuwa itachukua...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Manachama wote wa jf ata wale ambao wanasoma post za watu bila kujiunga jf nawatakia mwaka mpya 2012 wenye mafanikio. Hii ni bog inayoongoza apa E Africa. Jiunge na uje na mawazo ya kujenga na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu naomba maoni yenu kwa hali hii iliyokithili kwa wateule wa rais baada ya kuteuliwa kufanya sherehe ya kujipongeza wangali wakijua majukumu waliyopewa ni mazito na hasa ukizingatia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wazee ni watu wanaoheshimika sana katika jamii kutokana na busara wanazoaminika kuwa nazo. wameishi miaka mingi, na hivyo kushuhudia mambo mengi, pamoja na kukumbana na changamoto nyingi. Lakini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Je ni kweli Yule Mganda Aliefukuzwa Udsm alikuachia nyaraka muhimu za Mliman City? Zinazowataja Vigogo wenye hisa pale? Niweke sawa kwa haya kwanza.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakati Madonna alipoasili mtoto(watoto) toka Malawi,kulikuwa na mixed emotions kwenye suala hilo.Kuna walioona kuwa amesaidia na wengine wakaona kuwa ni udhalilishaji kwa jamii ya kiafrika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika hali ya simanzi na isiyotarajiwa na wengi basi la kampuni ya Mtei Express inayofanya roots kt ya Jiji la Arusha na Mkoa wa Manyara leo alasiri ilipinduka ktk barabara ya Arusha Babati eneo...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Ndugu wana JF, leo mwaka wa 2011 unaisha. Kama kawaida Rais atatuhutubia na kutueleza vipaumbele vyake vya mwaka unaofwata. Ubaya ni kuwa mengine anakuja fanya ambayo hayakuwa kipaumbele chake...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Nadhan hata bajeti yao yaweza kuisha mapema,walihusika na pilikapilika nyingi sana 1.KUZUIA VURUGU TARIME NA KUTELEKEZA MAJENEZA 2.KUZUIA VURUGU VYUO VIKUU,mfano udsm,udom,ARU, 3.Kashkash za...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
watanzania wenzangu hasa wale tuanoishi kigamboni ni wakati mwingine tena wa kupata machungu ya ugumu wa maisha kwa mwaka mpya wa 2012 ambao kunako majaaliwa tutaka nao hapo kesho. Nauli za kivuko...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna jamaa yangu anafanya kazi moja ya duka kubwa la kubadilishia fedha za kigeni pale mjini kati ainihadithia kisa cha mchina mmpja aliyeumbuliwa kwa wizi wa simu aina ya Blackberry Bold 9900...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuhusu matatizo ya maji kata ya Goba; uvumilivu unakaribia kikomo Matatizo ya maji kata ya Goba ni matokeo ya udhaifu wa watendaji katika ngazi mbalimbali na natoa mwito kwa mamlaka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, Tumesikia na kuona live ama kupitia vyombo vya habari kuwa wanaokaa mabondeni wanatakiwa kuondoka kwa hiari au kwa mabavu, hii ni kutokana na athari za mafuriko yaliyotokea hivi karibuni...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Back
Top Bottom