Nilivyosherehekea New Year. Yaliyonikuta mwenzenu

Kituku

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
238
Reaction score
24
Habari waungwana, Nashukuru Mungu nimeuona mwaka mpya, heri na kwenu pia wana JF. Niwaeleze tu jinsi mwaka mpya ulivyonikuta.. Kilaji cha nguvu, nilikuwa bwiii mpaka kubebwa kuletwa home, jambo ambalo si la kawaida hapo awali, je ndo nitakuwa wa bwiii mwaka wote wa 2012!!.... Wewe mwenzangu wa JF ulikukukutaje huu mwaka mpya?!
 
Nimelewa halafu nipo ugenini si mapombe yakanifanya nianze kumtamani beki tatu ila nae alikuwa ananitega maana nikiwa sijalewa huwa nipo mbali nae na simtamani hata kidogo japokuwa mzuri.Nimeamka najutia mwaka.
 
Habari waungwana, Nashukuru Mungu nimeuona mwaka mpya, heri na kwenu pia wana JF. Niwaeleze tu jinsi mwaka mpya ulivyonikuta.. Kilaji cha nguvu, nilikuwa bwiii mpaka kubebwa kuletwa home, jambo ambalo si la kawaida hapo awali, je ndo nitakuwa wa bwiii mwaka wote wa 2012!!.... Wewe mwenzangu wa JF ulikukukutaje huu mwaka mpya?!
Uliandika haya ukiwa bado umelewa au?
 
Habari waungwana, Nashukuru Mungu nimeuona mwaka mpya, heri na kwenu pia wana JF. Niwaeleze tu jinsi mwaka mpya ulivyonikuta.. Kilaji cha nguvu, nilikuwa bwiii mpaka kubebwa kuletwa home, jambo ambalo si la kawaida hapo awali, je ndo nitakuwa wa bwiii mwaka wote wa 2012!!.... Wewe mwenzangu wa JF ulikukukutaje huu mwaka mpya?!

dah ulianza asubuhi au ulifakamia kwa fujo?
 
pole kama uko salama wajanja hawajafaidi panya hakuna shida
mwaka huu jitahidi usilewe tena na malengo yako yatimize yote
we acha tu, nilianzia jioni tu ila kwa mbwembwe
 
pole kama uko salama wajanja hawajafaidi panya hakuna shida
mwaka huu jitahidi usilewe tena na malengo yako yatimize yote

Asante mkuu, nami nimekula kiapo
 
Back
Top Bottom