MCHINA akwapua simu - CCTV Kamera ya yamuumbua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MCHINA akwapua simu - CCTV Kamera ya yamuumbua

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lucchese DeCavalcante, Dec 30, 2011.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kuna jamaa yangu anafanya kazi moja ya duka kubwa la kubadilishia fedha za kigeni pale mjini kati ainihadithia kisa cha mchina mmpja aliyeumbuliwa kwa wizi wa simu aina ya Blackberry Bold 9900.

  Ilikuwa hivi... Majuzi mama mmoja alifika kwenye duka hilo kubadilisha fesha kadhaa akiwa na simu hiyo mkononi na katika zoezi la kuhesabu madafu akaamua kuiweka ile fesha juu ya kaunta ya kubadilishia fedha basi alipomaliza kuhesabu akasepa zake na kabla hajafika mbali akashtuka kuwa kaacha simu yake pale dukani akarudi fasta. Kuwaeleza matela pale kuwa kaacha simu yake na haioni wote wakamshangaa kuwa hawajaiona na bahati mbaya hakuna aliyeiona akiingia nayo. Basi mama akapaniki sana akaomba onane na bosi wao akiwashutumu matela kuwa mmoja wao kaipika bao na wakati huo ilikuwa haipatikani kabisa IMEZIMWA.

  Mwenye duka yeye hakuwa na wasiwasi kwani alimhakikishia mama kuwa aliyeiba atafahamika na ana uhakika wafanyakazi wake hakuna aliyeiba (kwani anajua wanafahamu pale pamefungwa CCTV kamera), mama akatahamaki kwa shauku huku akiendelea kuwahisi wale matela.

  Basi akamuita ofisini kwake na kureplay muda amabao mama alikuwepo pale kubadilisha fedha basi bwana CCTV Kamera hazidanganyi ikaonyesha mama anapoingia, kafika kwa tela kaweka simu kaunta na kuanza kuhesabu na kwenye makochi walikuwepo WACHINA watatu wateja wakubwa sana wa lile duka. Wakati mama yupo busy anahesabu madafu mchina mmja akenda kaunta ya jirani akitoa kama dola 300 ya kuchange huku mkono wa kushoto akiuweka juu ya ile simu ya mama na kuifunika.

  Mara mama alipomaliza kuhesabu pesa akasahau ile simu (Ikiwa imefunikwa na mchina) na kusepa zake MCHINA akachukua madafu aliyobadilisha na kuichukua ile simu kisha akaenda kwa WACHINA wenzie pale kwenye makochi akakaa huku akiwa ameishikilia ile simu kama yake, akawa anaigonga gonga kwenye meza na kupiga story na wenzie halafu nao wakasepa zao kilaini. Baada ya kuangalia ile CCTV clip mama macho yalimtoka na kumuomba masamaha mwenye duka kwa kuwahisi vibaya matela wake kuwa ni wezi, mwenye dula bahati nzuri anawafamu wale wachina amabao ni wateja wake wakubwa sana. Siku iliyofuata alimpigia bosi wao na kumueleza kuwa mmoja wa kijana wake kaiba simu jamaa aliruka futi mie akampeleka ofisini kwako na kumchezea ile clip jamaa macho yalimtoka huyoooo, mwenye duka akamuambia kwa kua wale ni wateja wake wakubwa anaomba tu wamrudishie simu ya mama na waadabishane wao kwa wao na kweli bwana simu ilirudishwa... Aisee dunia ya leo balaaa.

  Aisee hawa jamaa sasa wamejaa mpaka wamefikia stage ya kuwa vibaka, kaa chonjo chukua tahadhari maana hata kiswahili cha uswazi wanakijua ni hatari sana
   
 2. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Unajua mie huwa nadhani watu weupe hawana ukata kumbe mzanie sie
   
 3. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mkuu una safari ndefu!
   
 4. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Nipe muongozo wa kufika mapema na salama
   
 5. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kumbe hawa watu weupe wana ukata kama sio leo nimemuona mtasha kapakiwa kwenye boda boda
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Dec 31, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  thats y tunahangaika nao huku third world
   
 7. monongo

  monongo JF-Expert Member

  #7
  Dec 31, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  ndg,ubaya hauna rangi, kabila,utaifa Ukanda ,shetani wa China ndio wa ulaya,America na Africa pia.
   
Loading...