Uteuzi wa makatibu wakuu wa Wizara na uhamisho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uteuzi wa makatibu wakuu wa Wizara na uhamisho

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Magu, Jan 1, 2012.

 1. Magu

  Magu Senior Member

  #1
  Jan 1, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mwenye taarifa za uteuzi na uhamisho wa makatibu wakuu naomba atujuze. Kuna taarifa kuwa Mhe. Rais kafanya uteuzi na kuwahamisha makatibu wakuu wa wizara mbalimbali. Mwenye taarifa za uhakika atusaidie kutujuza plz.
   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hebu kaangalie kule kuna siredi kaleta Invicible ina habari yoote
   
Loading...