Nawatakia heri na mwaka mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawatakia heri na mwaka mpya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kajunju, Jan 1, 2012.

 1. k

  kajunju JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  Manachama wote wa jf ata wale ambao wanasoma post za watu bila kujiunga jf nawatakia mwaka mpya 2012 wenye mafanikio. Hii ni bog inayoongoza apa E Africa. Jiunge na uje na mawazo ya kujenga na siyo ya kuibomoa.apa ni mwisho ya yote. Naisi kwa sasa kila wizara kama siyo idara ya serikali ata mashirika ya umma wana mtu specifically wa kusoma nini kinawahusu apa jf. Mungu ibariki jf, hiduma daima.
   
 2. M

  Mr Mayunga JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Na wewe pia
   
Loading...