Wazungu na biashara ya figo

mayenga

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
4,118
1,966
Wakati Madonna alipoasili mtoto(watoto) toka Malawi,kulikuwa na mixed emotions kwenye suala hilo.Kuna walioona kuwa amesaidia na wengine wakaona kuwa ni udhalilishaji kwa jamii ya kiafrika.

Suala la kuasili(adopt)watoto hasa kwa watu weupe na hasahasa katika nchi za kiafrika na husussani Tanzania limeshika kasi kwa kiasi kikubwa.Suala hili haliachani pia na usafirishaji wa binadamu(human traficking) kwa nia na lengo la kuwauza kwenye nchi za Urabuni na baadhi ya nchi za Ulaya.

Nikirudi kwenye suala la kuasili watoto,kwa wale ambao mmebahatika kwenda Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii pamoja na mahakama kuu hasa ile ya Dar es Salaam,mtakuwa mashuhuda kwamba idadi ya wazungu inayoasili watoto inaongezeka kwa kiasi kikubwa sana.Wazungu hawa wakiambatana na mawakili wao(wazalendo wa inji hii) wanafanikiwa kwa kiasi kikubwa kuasili watoto.Sheria ya kuasili watoto inatoa masharti machache kwa ndugu na jamaa wa mtoto anayeasiliwa,mara nyingi mtoto akishaasiliwa ndugu na jamaa zake hudhani ndo basi kwamba hawana haki na mtoto huyo.Ndugu hawa hubaki kupokea fedha na vijizawadi basi.

Nyuma ya pazia ni kwamba,kwenye nchi za Ulaya,kuna matatizo makubwa ya ugonjwa wa figo,wenzetu hawa wanakufa sana kwa tatizo hilo.Inaaminika watoto hawa wanaoasiliwa imekuwa ni biashara nzuri ya kuokoa maelfu ya wazungu.Katika hali ya kutojitambua au kutojua,watoto hawa huondolewa figo moja na kubaki moja,na kwakuwa mtoto anakuwa tayari amekuwa adopted,gharama ya kununua figo inakuwa haipo.

Ole wenu mtengenezao wazungu mazingira ya kuasili watoto.
 
Hivi figo ya mtu mzima na mtoto zinaingiliana?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom