Mwaka 2011,POLISI WALIKUA BUSY SANA! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwaka 2011,POLISI WALIKUA BUSY SANA!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Dec 31, 2011.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Nadhan hata bajeti yao yaweza kuisha mapema,walihusika na pilikapilika nyingi sana
  1.KUZUIA VURUGU TARIME NA KUTELEKEZA MAJENEZA
  2.KUZUIA VURUGU VYUO VIKUU,mfano udsm,udom,ARU,
  3.Kashkash za maandamano na mikusanyiko ya CHADEMA
  4.Mishemishe za uchaguz wa Igunga
  5.HEKAHEKA ZA WAMACHINGA MBEYA
  6....endelea
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  dah! kweli kabisa mkuu hadi huruma..
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  wapo walioamua kujiua,
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Dec 31, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  6.kuzuia maandamano ya wanafunz wa shule za msing ambao wenzao hugongwa na magari,mfano kigogo
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kule manyara raia walivamia shamba la mwekezaji,POLISI WAKATIFUA MABOMU
   
 6. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #6
  Dec 31, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,995
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Kuwabambikia makosa yasio ya kweli wapinzani wa serikali.....
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Dec 31, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kuwakamata waandish na kuwahukumu kabla ya kwenda kwa pilato,mchezo huu anao kamanda handsome wa jiji la mafuriko
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Dec 31, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  8.Kutoa taarifa za kiintelijensia juu ya Al'shababu
   
 9. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #9
  Dec 31, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,995
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Kuwasingizia Al-shabab eti tukiandamana watatulipua.
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  Dec 31, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kuongoza misafara ya jk
   
 11. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #11
  Dec 31, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,995
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Kuwajeruhi na kuwaua raia wasio na hatia,ili wapate ujiko kutoka kwa Mafisadi wa CCM:
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Dec 31, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ndo kazi wanayojifunza ccp
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Dec 31, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,222
  Trophy Points: 280
  6. Kupiga bao daladala na magari binafsi barabarani
   
 14. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #14
  Dec 31, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  10.Kusimamia bomoa bomoa yakionevu na kifisadi kule dodoma
  11-kuwatetea mabwana zao mafixadi ccm kwa hali na mali
   
Loading...