Kesho wakazi wa kigamboni kugoma.

Kivia

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
278
32
Kesho tar 1 jan 2012. Wakazi wa kigamboni wameandaa mgomo mkubwa kabisa kwa kuzuia watu wote kutovuka ktk vivuko hivyo ikiwa ni kupinga ongezeko la nauli kutoka sh 100 hadi sh 200/- wananchi wamehamasika sana ktk hili na watazuia watu wote kuvuka hadi kieleweke na wameondoa tofauti zao za kivyama ktk hili kwani madiwani na wabunge wameliunga hilo.
 
Ukiangalia kwa haraka ongezeko ni dogo.
Lakini kumbuka ni ongezeko la 100%.
Kipato kiko palepale kwa takriban miaka 5 au sita.
Shilingi imeshuka sana kwa kipindi hicho dhidi ya dola/euro.
Serikali imekurupuka kwa hili.
 
Serikali kilaza haitazamiwi kufanya jambo la maana hata siku moja. Kivuko cha Likoni (Mombasa) ni bure, twajipitia zetu kwenda Karama Guest House kuvizia BuiBui pasipo kutoa senti yarabi! Juu ya nini kupandisha cha kigambonino wkt hela zenyewe zinaishia kuwanufaisha wale wafanyakazi wa tiketi?

We angalia tu kama huwa wanachana tiketi zote, ukizubaa wanarudisha mfukoni bila kuchana. Na hii ndio maana wameharibu ile machine ya kupanchi tiketi pale ili wafanye kwa mikono waibe
 
Ukiangalia kwa haraka ongezeko ni dogo.
Lakini kumbuka ni ongezeko la 100%.
Kipato kiko palepale kwa takriban miaka 5 au sita.
Shilingi imeshuka sana kwa kipindi hicho dhidi ya dola/euro.
Serikali imekurupuka kwa hili.
Unajua an increase of 7% per annum maana yake double in 10 years only? sasa hiyo ya 100% per annum... duh!
 
Serikali ya mjomba watu wanaionea sana.Kila mtu anafanya atakavyo....dah kwel hatari tupu.Sik hz hata tukigoma hawaogopi
 
Mgomo nani anauongoza?
Ferry_loading.jpg
 
kwa hyo ha2topata usafir mm na my family kwnda kula mwaka mpya sunrise!! Gomen tar.2 cku ya kaz kesho watu tunataka 2kapunguze stress ufukwe.
 
Kazi kwelikweli, yaani hawa jamaa wanafikiri kuongeza mapato ni kupandisha bei, hivyo basi kama itapanda kivuko kitakuwa kinaingiza 16M per day, askari wote wa navy, polisi wanapita free wakati wana mishahara, STK za wazee, magari ya jeshi nayo free. Bei mtapandisha lakini mapato yatakuwa hayo hayo
 
TAMESA wanasema wanakusanya mil 7 kwa siku. Magufuli alipotaka lifanyike zoezi la usimamizi makini kwa siku 3, pato la siku kwa wastani ilikuwa mil 12. Where that 5 mil come from and where it goes?
 
TAMESA wanasema wanakusanya mil 7 kwa siku. Magufuli alipotaka lifanyike zoezi la usimamizi makini kwa siku 3, pato la siku kwa wastani ilikuwa mil 12. Where that 5 mil come from and where it goes?

come 4rm tanzanian,goez to TAMESAs'POCKETS OF SERVANTS
 
Wanataka wauanze mwaka mpya kwa maumivu ya marungu,mabom ya machozi na maji ya kuwasha nin.
 
Hili nalo neno!
Kazi kwelikweli, yaani hawa jamaa wanafikiri kuongeza mapato ni kupandisha bei, hivyo basi kama itapanda kivuko kitakuwa kinaingiza 16M per day, askari wote wa navy, polisi wanapita free wakati wana mishahara, STK za wazee, magari ya jeshi nayo free. Bei mtapandisha lakini mapato yatakuwa hayo hayo
 
Ndio mkome kung'ng'ania magamba!!
Meshatumiwa na sasa mnatupwa kama kondom!!
Mkakae Kenya ndio wanazioshaga hizo ndom na kuzitumia tena!!
 
Sidhani kama wabongo wana guts za kugomea kitu haswa upandaji wa bei za bidhaa na huduma mbalimbali,hakika wabongo wote wezi,mapretender,wabinafsi na wanaishi maisha fake and not real,mfano tatizo la petrol kama tungekuwa na umoja uko serikalini watu wasingekaa maofisini au wangetimuana lakini badala yake tukajazana kwenye vituo vya mafuta huku tukitoana ngeu wenyewe kwa wenyewe.Na hivi ndo ccm wanapotugeuza mtaji wao kila mara.Ubinafsi na kutojali kuhusu maisha ya wengine ndo kumetufikisha hapa.
 
Kesho tar 1 jan 2012. Wakazi wa kigamboni wameandaa mgomo mkubwa kabisa kwa kuzuia watu wote kutovuka ktk vivuko hivyo ikiwa ni kupinga ongezeko la nauli kutoka sh 100 hadi sh 200/- wananchi wamehamasika sana ktk hili na watazuia watu wote kuvuka hadi kieleweke na wameondoa tofauti zao za kivyama ktk hili kwani madiwani na wabunge wameliunga hilo.

Sidhani kama itasaidia maana huwa waTZ tukitisiwa na virungu basi tunaiachia haki yetu inapita
 
Ukiangalia kwa haraka ongezeko ni dogo.
Lakini kumbuka ni ongezeko la 100%.
Kipato kiko palepale kwa takriban miaka 5 au sita.
Shilingi imeshuka sana kwa kipindi hicho dhidi ya dola/euro.
Serikali imekurupuka kwa hili.

Siku zote serikali si inakurupuka, au ulikuwa hulitambui hilo mkuu
 
Back
Top Bottom