Tanesco Tabata Segerea Tunaangamia!

Dfour

Member
Mar 18, 2010
47
10
Ni wiki ya pili eneo kubwa la Tabata Segerea hatuna umeme na sababu kubwa ni kuungua kwa transforma mbili siku ile ya mvua ya tr 21 tumetoa taharifa Tanesco na majibu wanayotoa ni kuwa itachukua si chini ya miezi mitatu kuzipata kutokana na mchakato wa manunuzi ulivyo lazima ufuatwe kwa kutangaza tender, sasa swali tunalojiuliza hivi utaratibu wa kushughulikia maswala ya dharula ndivyo unavyokwenda? na pili je hili tatizo lingetokea huko kwa wanaowaita wakubwa ungechukua muda mrefu hivi na cha kusikitisha zaidi mbunge wetu yupo kimya kama vile hakuna tatizo lililotokea na taharifa anazo
 
Back
Top Bottom