Nitakukumbuka milele mwaka 2011

3squere

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
925
181
Kuna vitu vingi sana ambavyo vimetokea mwaka 2011 lakini vipo ambavyo milele utakaa uvisahau maishani
 
Nitakukumbuka mlele pale nilipo nusurika kwenye ajali mbaya ya 5star kule morogoro
 
2011 sitaisahau maishani mwangu.mambo yaliyotokea kwangu machungu yasiyovumilika,sijawahi kupata machungu kama ambayo yalinipata 2011.namshukuru Mungu kwa mwaka huu.nilidhani sitamaliza mwaka huu lakini ilipofika leo asubuhi nikajua kweli nimeumaliza huu mwaka.najua hata maadui zangu hawakujua kama nitafika desemba 31,2011 lkn nimefika kwa neema ya Mungu.imebaki kuwa kitendawili kwao.kwaheri 2011 na machungu yako.nafarijika kwamba 2011 haitajirudia tena.bye bye 2011.
 
Nitakukumbuka mlele pale nilipo nusurika kwenye ajali mbaya ya 5star kule morogoro

Pole sana 3squere. Tunamshukuru MUNGU kwa hili.

Binafsi nimepoteza wapendwa wangu kadhaa.Lakini kama haikutosha 2011 imenijeruhi vibaya pale ambapo iliruhusu mafuriko kuharibu maisha ya rafiki yangu mpenz na familia yake.

Nenda 2011, nenda mwana kwenda,usirudi tena
 
Balaa tupu!Gari langu lilipata ajali mbaya na kuishia hapo hapo japo hakuna aliyekufa!Mbaya zaidi mama yangu mpendwa alinitoka!!!
Kwa kweli 2011 ishia zako
 
mwaka 2011, ulikuwa wa mitihan ming,maisha magum kwa mzaz, ugomvi wa
kifamilia, vikwazo ving kielimu, ila ckukata tamaa, Amin whch doeznt kill you,it wil make u strong. Nenda mwana kwenda 2011
 
Back
Top Bottom