TBC Wamkatia Nape hewani wakati akitoa salam za mkesha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBC Wamkatia Nape hewani wakati akitoa salam za mkesha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpinga shetani, Dec 31, 2011.

 1. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  NAPE NNAUYE amesema aliwahi kuwa mhubiri na mwimbaji wa nyimbo za Injili kabla ya kujiunga na siasa.
  Akitoa salam katika mkesha wa mwaka mpya uwanja wa taifa. Nape amedai kuwa anapata ujasiri wa kupambana na kile alichokiita ufisadi kutokana na imani yake kwa Yesu.
  Hata hivyo TBC wanaorusha live tamasha hilo. Walimzimia mbali Nape wakati anaongea na kumrusha mkurugenzi wao Mshana akiwa studio.
   
 2. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Kwani we kinakuuma nini????????????
   
 3. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hata shetani ana kanisa lake..!!
   
 4. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #4
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Du! Mapemaaa...Tupumzike kidogo, yawezekana ratiba ziliingiliana.
   
 5. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #5
  Jan 1, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Who is she?
   
Loading...