Mgomo wa madereva wa Malori TZ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa madereva wa Malori TZ

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mmbangifingi, Jan 18, 2012.

 1. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wakuu hali ikoje mpaka sasa kufuatia mgomo uliotangazwa na chama cha madereva wa malori Tanzania (Chamamata)? Kwa mujibu wa mwenyekiti wa chama hicho Bwana Rocket Matogolo based in Tunduma,, ilikuwa waanze leo wakishinikiza mikataba yenye kujali maslahi yao, kama kulipwa posho kwa Dollar inapotokea dereva anasafiri nje ya nchi ama pesa ya nchi anayoenda, pia kushinikiza kima cha chini cha mshahara kisiwe pungufu ya Laki Tano
   
Loading...