Filamu ya MAUAJI YA KIMBARI "SOMETIMES IN APRIL" imeniliza mtu mzima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Filamu ya MAUAJI YA KIMBARI "SOMETIMES IN APRIL" imeniliza mtu mzima

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Baba Matatizo, Jan 17, 2012.

 1. B

  Baba Matatizo JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ni filamu iliyobeba UHALISIA Kabisaaaa.Kwa wasioijua itafuteni muiangalie Kuna FUNZO kubwa sana ndani yake.Zaid ya watu laki 8 walipoteza maisha ndani ya siku 100.Ilikuwa ukionekana na pua ndefu PANGA linakuhusu.MWINGILIANO WA MAKABILA TANZANIA NI DAWA NZURI SANA YA KUZUIA VITA
  MWENYEZI MUNGU WAREHEMU WALIOKUFA WAKATI WA VITA NCHINI RWANDA
   
 2. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Ni kweli.Ile filamu imebeba UKWELI MTUPU!INAWAKUMBUSHA MAJONZI WATU WA RWANDA NA DUNIANI KWA UJUMLA.
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hata mi naisikia sana. Naitafuta pia
   
 4. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  YEAH.................. ukipata muda nagalia na nyingine inaitwa hotel rwanda,.................... zinasikitisha sana ...............na kutoa funzo zuri sana juu ya kudumisha amani.................
   
 5. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mkuu hii movie ya siku nyingi kweli
   
 6. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,226
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Umetumwa kumfanyia kampeni Paulo?!. Ile filamu au Hotel Rwanda ni tools za propaganda za Paulo kuuhadaa ulimwengu kuwa watu wa kabila la watutsi waliuawa kwa wingi wakati ukweli ni kuwa yeye(Paul Kagame) ndiye aliyeandaa yale mauaji na wengi waliouawa ni wa kabila la WAHUTu. Ukitaka kuhakiki nenda Rwanda sasa hivi, population kubwa ni wa kabila lake wakati kabla ya vita watutsi walikuwa monority(15%) na sasa ni zaidi ya 65%.
   
 7. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,226
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Haina ukweli wowowte, imejaa upotoshaji mkubwa na propaganda za kisiasa.
   
 8. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #8
  Jan 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Pia tafuta nyingine zinaitwa white light na johnny the mad dog.
   
 9. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #9
  Jan 18, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  mbona ndugu hapo juu umenichanganya..kumbe ule ni uongo.
   
 10. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,226
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Ndiyo, uongo uko kwenye maudhui kuwa watu wa kabila la watutsi ndio walio uawa, ukweli ni kuwa watutsi ndio waliopanga yale mauaji na kuua wahutu wengi, lengo lao ilikuwa kuwamaliza Wahutu na walifanikiwa kwa kiasi kikubwa, ukienda kigali sasa hivi utashangaa kuwa at least 80% ya watu ni watutsi wakati zamani walikuwa 15%, hii inashiria nini?!- wahutu wengi waliuawa! Ama siyo?!.
   
 11. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #11
  Jan 18, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,808
  Likes Received: 2,581
  Trophy Points: 280
  Haya yalitokea Zanzibar Jan 1964. Kama kawaida yetu tunakana historia yetu kwa sababu za kisiasa. Zanzibar genocide is a fact.
   
 12. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  mbona hawajtoa filamu yao ya kizanzibar?
   
 13. B

  Baba Matatizo JF-Expert Member

  #13
  Jan 18, 2012
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ni movie ya 2005.
   
 14. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #14
  Jan 18, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,808
  Likes Received: 2,581
  Trophy Points: 280
  Wasanii wetu wamejikita sana kwenye romance/love movies. Tofauti na wenzetu ambao wanatengaza movie kuelezea matukio muhimu ya historia mfano filamu ya mandingo,au places in the heart.
   
 15. B

  Baba Matatizo JF-Expert Member

  #15
  Jan 18, 2012
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mkuu kumbe wewe unajua kuliko dunia?Ulishakaa Rwanda?au una ushahidi gani juu ya unayoyaongea?Hebu nithibitishie Nimebadilike mawazo yangu juu ya hiyo historia.Unajua lolote kuhusu uchochezi uliofanywa na vyombo vya habari?unajua vilitangaza nini wakati wa machafuko?
   
 16. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #16
  Jan 18, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Watatengenezaje wakati aliyeongoza hayo mapinduzi alikuwa ni John Okello?
   
 17. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #17
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,226
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Wewe unazungumzia kinachosemwa kuwa kilifanywa na vyombo vya habari?!, je, kinachosemwa na vyombo vya habari vya sasa unakielewa?, nimekupa facts juu ya comparison ya population ratios before and after massacres, wewe unasema nini kuhusu hilo?, unajua alichosema Beutros wakati anachia ukatibu mkuu? Unajua Kofi Anaan alisema nini wakati yeye alikuwa ni boss wa UN peace keeping mission?, wewe unadhani Habyarimana alikufa kwa bahati mbaya na kuwa RPF hawakuwa na maandalizi ya nini kitafanyika baada ya kifo cha Juvenal?, unajua kuwa wakati huo serikali ya Juvenal ilikuwa under arms embargo?!
   
 18. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #18
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Gama, you dont have an idea ya kilichotokea. Nashauri nenda library. Ulichosema hakina ukweli hata kidogo. Read and read utapata kufahamu.
   
 19. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #19
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Acha uongo mkuu. Toa kitu credible. Eti unasema wahutu ndo walio uawa, do you know kitu inaitwa "Hutu exodus" when RPF walipokuwa wanachukua nchi....do you know what happen in Zaire? unajua issue ya cholera na wahutu. Nenda library bos otherwise kuwa mtazamaji usilete baseless facts.
   
 20. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #20
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Kama ni wasomaji wazuri unaweza soma kitabu
  1. Left to tell by illuminata ilibagiza
  2. Shake hands with the Devils by Romeo Dallais
  Ukipitia hivyo vitabu utaelewa what happened.
   
Loading...