Kwa nini gari za walinzi wa rais huwa zinahama kutoka lane moja hadi nyingine? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini gari za walinzi wa rais huwa zinahama kutoka lane moja hadi nyingine?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sikiolakufa, Jan 18, 2012.

 1. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Naomba mchango yakinifu....nilishuhudia msafara wa rais hivi karibuni....huwa unatanguliwa na pikipiki...halafu gari ya polisi kama mbili hivi ambazo zinapeana distance kubwa.....baada ya hapo huwa kuna gari fulani aina ya bmw ambazo zinaambatana na gari alilopanda rais...cha ajabu gari hizo huwa zinahama kutoka lane moja hadi nyingine zikiwa na lengo la kui-sandwich ile gari aliyopanda rais huku wakiwa katika 80kph.

  Nina shaka na manouvres hizo wanazofanya madereva huenda ni hatari kwa usalama wa mkuu wa nchi.....je wale madereva wana uzoefu gani? Ni madereva wa jeshi? Maswala haya ya usalama barabarani ni muhimu sana kujadiliwa...

  Je ni salama kwa rais kukaa kiti cha mbele akiwa anasafiri na gari kwenda lets say morogoro?naomba mtazamo
   
 2. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Tumekuwa tukufanya hivi kwa miaka yote ya taifa letu. In fact tumeboresha zaidi huko kutanua baada ya 1984 ilipotokea ajali ya Sokoine. Madereva wote ni well trained so dont worry.
   
 3. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  vipi kuhusu rais kukaa siti ya mbele? Si hatari?
   
 4. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa sababu serikali yenyewe haieleweki au ww unaielewa?!!
   
 5. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,223
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kisheria/utaratibu rais hukaa kiti cha nyuma upande wa kushoto kaka!!!! ukiona alipanda mbele ujue kunajambo
   
 6. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Hapana..........anakaa mbele anapotumia SUV kwa kuwa kiti cha mbele ni comfortable na safer zaidi......anakaa nyuma katika limousine kutokana na protocals za awali (ambazo ziko kabla ya ujio wa SUVs) na hii ilitokana na ukweli kuwa awali sana kabla ya magari viongozi wa nchi walitumia magari ya kuvutwa kwa farasi ambayo huwa nyuma ya farasi kama hili

  [​IMG]
   
 7. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Huyu wa sasa akipanda shangingi ziku zote anakaa mbele.
   
 8. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #8
  Jan 18, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  jambo kama lip labda...
   
 9. Ndi.Wa.Nkaka

  Ndi.Wa.Nkaka Member

  #9
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pale Monduli - TMA - Kuna Course moja inaitwa "MOTION" - ni option course!
   
 10. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,223
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  am not sure on this but whenever akipanda benzi!! lazima akae upande wa kushoto kiti cha nyuma. anyway labda,....kamwambia hivyo
   
 11. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #11
  Jan 18, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,223
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  umewai kwenda kwa mganga wa kienyeji wewe??
   
 12. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Sisis tunashangaa Ambulance.......kuna Rais ana Fire engine kabisa kwenye msafara :lol::eyebrows:

  [​IMG]
   
 13. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #13
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ukiona rais anajiongezea ulinzi ujue anawaibia-J.K.NYERERE
   
 14. F

  FUSO JF-Expert Member

  #14
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,813
  Likes Received: 2,297
  Trophy Points: 280
  ubora wa barabara zetu je?
   
 15. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #15
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu wa kaya akiwa kwenye motorcade format deformation speed 110KM, TLK 1290 leading...TLK 2121 Manouver TLKA1278 Bluffing....TLK 3210 Engaging

  mkuu wa kaya.jpg mkuu wa kaya.jpg
   
 16. F

  FUSO JF-Expert Member

  #16
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,813
  Likes Received: 2,297
  Trophy Points: 280
  ukiona rais wa nchi yoyote kajiongezea ulinzi ujue...........ku...ra.
   
 17. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #17
  Jan 18, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  SUVs kwa rough roads
  LIMOs kwenye lami
   
 18. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #18
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Akikaa nyuma ataonaje namna maisha ya wananchi "yalivyoboreshwa"?
   
 19. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #19
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umeonaaaaaaaaeeeeeeeeee jamaaa amefunga nia ya ocean road kule nyuma ya mjengo wa waarabu alio utaifisha
   
 20. m

  masewa Member

  #20
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hyo ya kukaa mbele mi nadhani

  huyu jamaa sianapenda totoz anatakaga mwenyewe ili azione vizuri
   
Loading...