Wateja wa airtel someni hapa ni muhimu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wateja wa airtel someni hapa ni muhimu.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Brightman Jr, Jan 18, 2012.

 1. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Jamani wakuu kuna meseji nimeipokea toka Airtel inasema hivi,

  "Dear Customer, Jirushe Services will be stopped in a few days to come and will be replaced by a New and More exciting service. Keep enjoying Airtel service".

  Nafikiri wale wapenda chewale kwa sasa watakuwa na wakati mgumu kweli hasa ukizingatia hali ya maisha ilivyo kwa sasa. Kazi kwenu..!
   
Loading...