Tra na madudu mengine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tra na madudu mengine

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nashy, Jan 18, 2012.

 1. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Jamani hili lambo limenikera sana tena sijui kama linavumilika miongoni mwa watanzania walio wengi tena maskini kama mimi. jumatatu nilienda pale TRA Temeke kuomba kurenew driving licence yangu, nikaambiwa nikapige picha ili kupata leseni mpya, cha ajabu tangu hiyo jumatatu napanga foleni asubuhi mpaka jioni bila huduma kisa tunaambiwa hawana network. Hivi jamani ni sahihi kwa taasisi kama TRA kukosa network kwa siku tatu? Hizi kazi zao wanafanya vipi? sijui kama kesho hiyo network itakuwepo au laah. Anyway sijui kama Mkulo ana taarifa
   
Loading...