Hivi ndio jinsi ya kumuenzi Mh. Regia fanya yafuatayo.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ndio jinsi ya kumuenzi Mh. Regia fanya yafuatayo....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by CERDIC, Jan 18, 2012.

 1. C

  CERDIC Member

  #1
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama alivyokuwa Mh. Regia ndio vijana wote wanapashwa kuishi maisha ya kila siku, nashawishi uanzishwe mkakati ambao vijana wengi watafundishwa jinsi ya kulitumikia taifa. Marehemu alikuwa na ujasiri sifa yake kubwa na uwezo wa kuthubutu kufanya jambo kwa maslahi na maendeleo ya taifa. Nawashauri waombolezaji wote na watu wote wenye mapenzi mema na nchi yetu baada ya magari kugeuza kutoka Ifakara ambako ndio Mh Regia amepumzishwa kwenye makazi yake mapya ya milele na pia wengine wote mliopo sehemu mbali mbali tuchukue sifa zake tuzifanyie kazi na tuweze kuwa na kina Regia wengi sana ili tuweze kulikomboa taifa. Kama tutafanya hivyo! basi

  Dr. Slaa! giza litakuwa jua
  Mh. Mbowe! silaa ya Mh. Regia itakomboa wengi sana wanaokosa fursa za maisha bora kwenye nchi yao ambayo imetunukiwa na Allah rasilimali nyingi zakuweza kumsaidia mtanzania
  Mh. Zito! Mama yetu Shida atapata marafiki wengi sana la msingi tujitahidi kuwafunda vijana wengi sana ili Taifa liwe na wapiganaji wengi
  Mh Anne Makinda Spika utawapa wanawake wengi zaidi ya 50% wabunge wenye majimbo na wabunge wenye uwezo mkubwa na kuheshimu kanuni za Bunge.
  Mh Waziri Mkuu utawapa wakina Regia wengi ambao wataweza kukuuliza maswali mengi ili mpaka siku tanzania kitakapo eleweka.

  CDM recruit many youth as possible iwe kama special project ili kuongeza sauti ya kuipigania na kuikomboa nchi.

  Nanukuu maneno ya Mh Mbowe "Mh Regia amekufa ameacha silaa basi tuichukue tusonge mbele na mapambano ya kuikomboa nchi na siku moja tutakuja mkuta Regia kwenye ufalme wa Mbingu

  Upumzike salama Mh. Regia umetangulia nasisi ni wasafiri. Inallilah wa Inalillah Rajuni kiarabu sijui vizuri ila maana imeeleweka.
   
 2. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  Pamoja mkuu, rip dada yetu regia.
   
 3. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #3
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Pamoja mwana.
   
 4. D

  Darick JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sio kwamba Kiarabu hujui vizuri hujui kabisa, ila jambo hapa sio kiarabu ila ni yale maneno yako yenye busara kuwa tumuenzi Regia kwa kuhamasisha vijana wengi zaidi wawe na moyo wa ujasiri na kujiamini hayo ndo maneno kiarabu siyo issue hapa. Nina nia njema kabisa
   
Loading...