WANA BUYUNGU mpo?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WANA BUYUNGU mpo??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Baba Dorcas, Jan 18, 2012.

 1. B

  Baba Dorcas Member

  #1
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau wa JF, nimeamua kuanzisha uzi huu ili kutafuta wana Jimbo la Buyungu. Lengo ni kutafutana kimawazo na ushaur jinsi gan 2fanye ili kukomboa lile jimbo letu la Buyungu pamoja na Wilaya ya Kibondo kwa ujumla. Mmbunge na mwakilish wa eneo lile, nadhan wote tunampata kua ni nani, na ni nan ktk serkal ya sisiem, n kwamba hana tym na lile jimbo ispokua kwenda kule kuwalaghai wakt wa kutaka kurenew kiti chake. Mi npo Arusha kwa sasa ndo nmemalza univesty of Tumain last yr, bt home kwe2 ni kijiji cha Gwarama kata ya Muhange. Naomben 2peane michapo na mikakati jins gan 2endeleze jimbo lile pamoja na kubadil uongoz wa eneo lile.
  Naomba kutoa hoja!
   
Loading...