Dr. Slaa Jihadhari na MSIBA wa REGIA MTEMA

Dr. Slaa Jihadhari na MSIBA wa REGIA MTEMA

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2010
Posts
7,263
Reaction score
685
Najuwa wengi wameguswa na msiba huu Mungu aelaze mahali
pema Roho ya Regia Mtema.

Lakini yote kwa yote siasa mchezo mbaya sana hapa maadui wake
wasiomtakia Dr Slaa mafanikio ndo wanapata upenyo hata wa kusalimiana
naye. Kwa mfano mtu ataenda kumpa mkono wa pole huku amejikoki
Polonium110(ni mtazamo lakini)

Kwa mtazamo wangu hii ndo itakuwa furusa nzuri kwa magamba kupenyeza
mamluki katika msiba huu. Dr slaa kuwa makini na msiba huu

1.jpg

c2.jpg
 
Mnamlinda DR duuu bado mnandoto za yeye kuwa raisi!?
 
Ukimuona nyani mzee ujue amekwepa mishale mingi. Ila rudi shule
 
Hapa kwa kweli kuna kaukweli inabidi awe makini sana
 
Yes, there could be a point; but, why mentioning Polonium of all the poisons?!, unajuwa kuwa polonium ni radio active hivyo mtu yeyote anayeisogelea at an degree ana-stand chances za madhara ya radioactive materials @differing degrees?!
Najuwa wengi wameguswa na msiba huu Mungu aelaze mahali
pema Roho ya Regia Mtema.

Lakini yote kwa yote siasa mchezo mbaya sana hapa maadui wake
wasiomtakia Dr Slaa mafanikio ndo wanapata upenyo hata wa kusalimiana
naye. Kwa mfano mtu ataenda kumpa mkono wa pole huku amejikoki
Polonium110(ni mtazamo lakini)

Kwa mtazamo wangu hii ndo itakuwa furusa nzuri kwa magamba kupenyeza
mamluki katika msiba huu. Dr slaa kuwa makini na msiba huu

1.jpg

c2.jpg
 
Yes, there could be a point; but, why mentioning Polonium of all the poisons?!, unajuwa kuwa polonium ni radio active hivyo mtu yeyote anayeisogelea at an degree ana-stand chances za madhara ya radioactive materials @differing degrees?!
kwani ccm wanajali basi? they dont care ili muradi wewe upotee hivyo vinyamkera pembeni yako shauri yao.wana roho mbaya sana hawa jamaa
 
huu ni ubaguzi na ni ujinga wa karne.................
mnageuza msiba kuwa dili?
watu tunahangaika na msiba tumefiwa nyie mnaingiza SUMU ya UBAGUZI?
kweli ujinga ni ugonjwa mbaya sana.
kwa kweli nimesikitika sana kwa hii thred,basi kumbe huu msiba ni chadema...
 
ubaguzi ubaguzi ubaguzi ubaguzi ubaguzi ubaguzi ubaguzi ubaguzi ubaguzi ubaguzi ubaguzi ubaguzi ubaguzi
 
Back
Top Bottom