Hivi serikali inawatendea haki wananchi hawa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi serikali inawatendea haki wananchi hawa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sunshow, Jan 18, 2012.

 1. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hivi majuzi rais Kikwete ametangaza kujenga bomba kubwa la gesi kutoka Mtwara hadi Dar lengo likiwa kupunguza makali ya mgao wa umeme nchini. Kwa wale wasioijua Mtwara vizuri, ni asilimia 10 tu ya wakaazi wake wanatumia umeme. Kipato cha wananchi walio wengi ni kidogo hivyo kushindwa kumudu gharama za kulipia nguzo za umeme maana nguzo moja si chini ya m1.3. Cha kushangaza serikali imeshindwa kusambaza nguzo ili wananchi walipie tu gharama za kuvuta umeme majumbani mwao badala yake inaamua kujenga bomba la mabilioni kupeleka gesi Dar! Je wananchi wa Mtwara siyo watanzania?
   
Loading...