Hivi kulikuwa na sababu Tanzania kusaidia harakati za ukombozi barani Afrika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kulikuwa na sababu Tanzania kusaidia harakati za ukombozi barani Afrika?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Third Eye, Jan 18, 2012.

 1. Third Eye

  Third Eye JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Habari wanajamvi,Jaman hii ni thread yangu ya kwanza kuianzisha ndani ya JF.kwa muda nimekuwa najiuliza ulazima uliokuwepo kwa Tanzania kusaidia ukombozi barani Afrika na juhudi hizo zimetugarimu vingapi na tumenufaika vipi?Najiuliza hivyo kwa sababu zifuatazo,1. Tz kipindi hicho tulikuwa maskin kuliko sasa, tulikuwa tunajikongoja baada ya uhuru,je kulikuwa kuna ulazima wa kutumia resources zetu chache kusaidia nchi nyingine?2. What was there to gain? nchi nyingi zilizokuwa zinaisaidia africa,kama Cuba na Russia (USSR ya kipindi kile) walikuwa wanasaidia Afrika kujitafutia wafuasi wa siasa zao. What was it for us?3. Je kuna malipo yoyote yanayofanyika kulipia gharama zilizotumika na TZ?najua jibu la haraka ni kuwa ilikua kusaidia wa afrika wenzetu na kujenga umoja na ushirikiano barani Afrika, but we are great thinkers so is it real true that kuna Umoja na mshikamano wowote barani Afrika? ni vipi kilichotokea Libya kwa Kanli Gadafi R.I.P, pale kwa mzee Mugabe na Rais Omar al Bashir?Wanajamvi kwa hitimosho tu, ningependa tujadiliane kuhusu hilo, mimi ni mdogo kiumri, sikuwepo wakati hayo yanatokea hivyo najaribu kupanua uwezo wangu wa kufikiria na kupambanua hayo.Asante na Karibuni sana
   
Loading...