Wana Jf,baada ya VYAMA VYA SIASA(CCM,CDM,NCCR,CUF) kutupima viatu 2010,mda si mrefu (2015) vitarudi tena na kutuuliza swali "hivi wana JF mlikuwa mnataka viatu vya SAIZI gani vile?
kwa...
Kama magazeti ya Jitambue na Mshahuri Wako pamoja na Vitabu kv.Maisha na Mafanikio,nk ya marehemu Munga Tehnan vilibadirisha maisha yako ni wakati sasa wa kuungana pamoja.
Najua wengi mpo humu...
Mpaka leo ni zaidi miezi 11 tangu itokee MILIPUKO ya MABOMU ya GONGOLAMBOTO.Mpaka leo Serikali haijawalipa watu WALIUMIA na wengine kuwa na VILEMA vya maisha kwa uzembe wa Serikali baada ya yale...
Najiuliza sana changamoto nyingi zinalolikumba Taifa kwa sasa, kuchelewa kwa mishahara ya watumishi, Halmashauri nyingi kukwama shughuli za Maendeleo, kupanda na kupandishwa kwa bei za vitu...
Wakuu tumeipa serikali mwenzi mmoja wa kutafakari na kushusha bei ya umeme na kama ikishindikana basi hakuna jinsi ya kufanya zaidi ya maandamano na kuanza kuhujumu rasilimali za Tanesco hili...
ujio wa mamlaka ya mifuko ya hifadhi ya jamii nssra utaweza kweli kupunguza gap iliyopo kati ya mfuko mmoja na mwingine mfano nssf wanacharge ten percent kwenye gross salary wakati ppf wanacharge...
Hii nayo ni kali kuliko, kweli dunia haishi vituko. Ukistaajabu ya TZ Utayaona ya Moroco. Wahitimu wasio na ajira wameanza kujilipua kwa petroli huko Moroco kwa sababu ya kukosa ajira. Wananafanya...
SOURCE: MWANANCHI GAZETI
KATIBU Mkuu wa Chadema Dk Willibrod Slaa amesema kuwa, hakuweza kusalimiana na Rais Jakaya Kikwete kutokana na Jiografia ya eneo la makaburini lilivyopangwa na watu wa...
Naomb tujadili pamoja mtazamo huu. Huwa njiuliza sana swali hili gumu ila bado sijawahi kupata jipu l japo jepesi la kwa nini watz tunahindwa kuchukua hatua pamoja na mambo kwenda hovyo kabisa ktk...
Facebook photos generally depict smilling, cheerful people having good times, conveying sense of happiness of course everyone likes smile for the camera, so that good cheer may inflated or be...
Nilikuwa naangalia mlimani tv, watu zaidi ya 200 wamekamatwa na jeshi la polisi katika eneo la kariakoo kwa kosa la uzembe na uzururaji.
Muda mrefu sijasikia watu wakikamatwa kwa makosa ya...
HATA MAGAMBA WENYEWE MMEPOOZA?MPENI UZITO MZEE YULE SI ALIKUWA WAZIRI JAMANI EEEEHH MSIFANYE HIVYO
NIMESIKIA SPIKA ANAFIKIRIA JUU YA KUAGWA KWA SUMARI KAMA WAMUAGIE KARIMJEE AU POPOTE JAMANI
AU...
Tanzania ni nchi ya Watanzania wote,hata kama kasungura ni kadogo basi tugawane wote sawa,hayo ndo makuzi na malezi tuliyolelewa.Viongozi walikuwa na dhamira ya kweli katika kuwatumikia wananchi...
Prof Rwekaza Mukandala amempoteza mama yake mzazi. Msiba upo Chuo Kikuu na kesho saa mbili asubuhi kutakuwa na misa ya kumuombea marehemu katika kanisa la Chuo Kikuu.
Tuweke siasa pembeni...
Haijanitokea lakini kwa kuwa imemtokea myu aliyenipa ushuhuda wote nimeona si haba kuwajuza wanajamvi la kama ilishajuzwa si vibaya kukumbushana mintaarafu kuna wanachama wapya kila uchao
Ni...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemkamata mtuhumiwa mmoja wa kosa la wizi wa nyaya za shirika la umeme Tanzania (Tanesco) mita 900.
Kamanda wa kada hiyo, Suleiman Kova, alisema...
Kwann tusipimiwe ardhi tumiliki? Mafuriko na overcrowding,conflicts na kero zingine zitapungua tukiwa na hati miliki ya ardhi.Ina maana serikali haitaki tujikwamue na matatizo yanayotukabili?
Wakuu naomba kutapat updates, hivi mgogoro wa serikali na MAT umeishia wapi?
Nakumbuka Dr. Nkya alitaoa tamko kwa niaba ya serikali na madaktari nao wakaja na madai yao(mengine mapya), nikasikia...
Watanzania ni wajuzi sana wa mambo, na tunapenda sana kupiga porojo, too much talking but less or no action!
Kama ikitokea Rais akamiliki kampuni au makampuni ya biashara ina maana ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.