kipindi cha Chakula bora kimepotelea wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kipindi cha Chakula bora kimepotelea wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mopaozi, Jan 20, 2012.

 1. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kuna kipindi enzi zile RTD kilikuwa cha kuhamasisha kula kilikuwa kikianza na wimbo kuleni kuku mayai mboga samaki maziwa,,,,na kujenga nyumba safi pa kulala pawe boraa!! Cku hz akipo au ni mambo ya ukata kuwaimbia watu wakati wanashindia mlo mmoja tena wa ugali na mboga kati ya zifuatazo nguruka/nguru/dagaa/mchicha/papana huliwa saa 10 jioni!!
   
 2. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  ilikuwa enzi za RTD tangia wabadilishe jina mambo yamebadilika
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  hivyo vyakula vilivyopanda bei, vimekua si chakula bora tena bali chakula cha anasa.
   
 4. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Na kile cha ukulima wa kisasa je?
   
 5. Mnwele

  Mnwele Senior Member

  #5
  Jan 20, 2012
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Unaweza pia muuliza mzee Reinfred Masako alikuwa mdau mkuu pale
   
Loading...