Kahawa na kashata za ikulu zinapobadilisha misimamo ya wanasiasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kahawa na kashata za ikulu zinapobadilisha misimamo ya wanasiasa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by babad, Jan 21, 2012.

 1. babad

  babad Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=6]Duh!! kweli kashata za Ikulu tamu maana NCCR walipanga kuandamana kupinga kupanda kwa bei ya umeme, Baba Riz akaona isiwe inshu hawa wana hamu na kashata akawaambia wakamuone Ikulu wakaahirisha maandamano
  Hivi hawajaona matokeo ya kwenda ikulu kwa waliowahi kwenda?Na kama walikuwa na hamu ya kuonana naye si wangeomba nafasi moja kwa moja kwake badala ya kutusumbua na taarifa za maandamano[/h]
   
 2. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kaka ukitoa lawama kwa NCCR Mageuzi peke yake utakuwa ujatenda haki, kwani CUF na Chadema wamefanyaje zaidi ya kula kashata tu na kahawa.
   
 3. babad

  babad Member

  #3
  Jan 21, 2012
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mchuzi wa bata sijalaumu kwa NCCR pwke yake ndo maana nimesema "Hawajaona matokeo ya kwenda Ikulu kwa waliowahi kwenda?"Hapo nilimaanisha CHADEMA na CUF kwani nao kama walienda kutalii tu na kunywa kahawa kwa kashata
   
Loading...