Ombi la kuongeza ukubwa wa eez | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ombi la kuongeza ukubwa wa eez

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LE GAGNANT, Jan 20, 2012.

 1. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  KULNGANA NA GAZETI LA HABARILEO LA TAREHE 19 JAN 2011, TANZANIA imewasilisha ombi katika Umoja wa Mataifa (UN), kudai eneo la nyongeza lenye ukubwa wa maili 150 nje ya eneo la sasa la maili 200 za Ukanda wa Kiuchumi wa Bahari. http://www.habarileo.co.tz/kitaifa/?n=25789

  KULINGANA NA United Nations Convention on the Law of the Sea(UNCLOS).

  Article 57
  Breadth of the exclusive economic zone
  The exclusive economic zone shall not extend beyond 200 nautical miles
  from the baselines from which the breadth of the territorial sea is measured.


  MY TAKE, TANZANIA IMESHINDWA KU-UTILIZE ENEO LA SASA, KWANI NI IDADI KUBWA SANA YA SAMAKI NA MAZAO YA BAHARI HUVUNWA NA WAGENI KWA KUTUMIA VYOMBO VYA KISASA VINAVYOTUMIA TEKNOLOJIA YA JUU BILA NCHI KUJUA. SASA KUONGEZA ENEO HILO LA Exclusive economic zone(EEZ) NI KWA MANUFAA YA NANI? KWA MAANA TANZANIA HAINA UWEZO HATA KIDOGO WA KULINDA RASILIMALI ZAKE KWENYE ENEO HILO KWA UKUBWA WA SASA.

  IKUMBUKWE SAMAKI WA MAGUFULI WALIKAMATWA KWA MSAADA MKUBWA WA MELI YA SOUTH AFRICA, BAADA YA KUFANYA SURVEILLANCE NA KUWAGUNDUA WALE WAVUVI HARAMU.
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mkuu hayo ni mambo ya us kaka na sio tz
   
 3. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  EEZ INAHUSU KILA NCHI INAYOPAKANA NA BAHARI:

  Being a coastal country, in 1989, Tanzania established her exclusive economic zone . The northernmost boundary of the Tanzanian EEZ is at 4.66°S, the easternmost point on the eastern boundary is at 43.67°E and the southernmost point on the southern boundary is at 10.41°S. The EEZ provides Tanzania with extra and exclusive opportunity to access resources and services from its marine and coastal environment, such as marine transportation, fisheries, tourism, marine mineral deposits, and others. In particular, due to its appreciably longer coastline, there are many small and several large islands, Tanzania has conducive equatorial tropical climate,and it is potentially rich in coastal and marine resources.
  SOURCE: D.C.P. Masalu
  Institute of Marine Sciences, University of Dar es Salaam


  SUALA NI KUWA ENEO HILO LA EEZ LIKIONGEZWA TANZANIA INAO UWEZO WA KULIDHIBITI?
  ISIJE KUWA NI KUWAONGEZEA WAGENI WENYE UWEZO WA KUTUMIA VYOMBO VYENYE TEKINOLOJIA YA JUU KUJIPATIA ULAJI BILA KIKWAZO.

   
Loading...