Dunia yako, chaguo lako

Ngambo Ngali

JF-Expert Member
Apr 17, 2009
3,517
1,359
Mimi ni Ngambo Ngali, Senior expert member wa JF, mwaka 2012 dunia yako chaguo lako.

Nachagua kuwa na taifa la watu wasomi, nachagua kuitaka serikali kuwalipia Ada ya vyuo vikuu wore wanaostahili.

Wewe je?
 
Back
Top Bottom